SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,613
- 7,889
TLS ni jina sio sentensi. Kama "Infantry Soldier". Ama?"Legal Society" na "Law Society" ipi ni sahihi katika mfumo wa sarufi?
For Presidency na For President zipo tofauti lakini kila moja ipo sawa. Hakuna shida. And mind you, hayo ni matangazo (campaign ads), yana namna zake za uandishi!
Check hapa kwa mfano:
Na hivi: