Chai Nyeusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 347
- 312
Kwa sababu zipi?Wrong
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu zipi?Wrong
Hapo Flaviana kakosea. She is running for presidency. After being elected she becomes the President.Mambo vp waungwana wa jamiiforums.
Wagombea wa nafasi huko Tanganyika Law Society (TLS). Je ipi ni sahihi kati ya "For President" au "For Presidency"?
View attachment 1744947
Lengo kuu la kukutana katika platform hii mara kwa mara ni kuelimishana na kusahihishana katika masuala mbalimbali yahusuyo maisha yetu ya kila siku ikiwemo lugha, michezo, afya pamoja na maarifa ya kijamii kwa ujumla.
View attachment 1744948
Hakuna binadamu yeyote anayefahamu kila jambo hapa duniani ndio maana hata mtunzi wa kalenda hawezi kuijua kesho yake itakuwaje. Hata mimi Infantry Soldier licha ya kuwa ninasomaga vitabu mara kwa mara, bado kuna mambo mengi sana siyafahamu na ninahitaji kujifunza kupitia watu wengine.
View attachment 1744950
Kwa wale ndugu zangu ambao ni wataalam wa lugha ninaomba kufahamu ipi ni phrase sahihi baina ya "for president" na "for presidency" ambayo kwa tafsiri ya harakaharaka ninaweza kusema mchagueni mama watoto wangu Bushmamy kwa "nafasi ya Rais" au "nafasi ya Urais"
View attachment 1744951
==========
NJE YA MADA KIDOGO: Je, Tanganyika Law Society na Tanganyika Legal Society ipi ni sahihi? Kwa maana kwa kiingereza nilichofundishwa na mwalimu Fatuma Abdallah ni kwamba adjective hufutana na nouns.
Adjective hufutana na nouns yaaani "Law" na "Society" hizi zote ni nouns ambazo hazikupaswa kufuatana katika kuunda sentensi yenye kuleta maana sahihi bali maneno "Legal" na "Society" hizi ni adjective pamoja na "nouns" ambazo ndio hukubalika katika mpangilio sahihi wa kisarufi katika lugha ya kiingereza
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
I thought the same. Mkuu, jaribu kupitia comments number 2 pamoja na number 13 uone majibu ya wadau.Hapo Flaviana kakosea. She is running for presidency. After being elected she becomes the President.
Na ndio hayo hayo makosa ya kiufundi wakiyafanya mahakamani watu wanafungwaMakosa ya kiufundi cha muhimu mgombea kupata kura na kula...
Mahakamani ni kusudi...Na ndio hayo hayo makosa ya kiufundi wakiyafanya mahakamani watu wanafungwa
Hahahahaaaa sawa mkuu. Kumbe wanasheria wanatufanyiaga kusudi sometimes. Leo nimeelewa.Mahakamani ni kusudi...
Hakika mkuu...She is running for presidency to be president once elected,
Natania mkuu [emoji16][emoji16]Asante sana boss kwa kuniita mimi muhuni
PoaNatania mkuu [emoji16][emoji16]
Je, Tanganyika Law Society na Tanganyika Legal Society ipi ni sahihi zaidi katika mpangilio mzuri wa sarufi?She is running for presidency to be president once elected,though FOR inamaana nyingi,it might be inamaana ya KUSUDI au KWAAJILI YA.
Mambo vp waungwana wa jamiiforums.
Wagombea wa nafasi huko Tanganyika Law Society (TLS). Je ipi ni sahihi kati ya "For President" au "For Presidency"?
View attachment 1744947
Lengo kuu la kukutana katika platform hii mara kwa mara ni kuelimishana na kusahihishana katika masuala mbalimbali yahusuyo maisha yetu ya kila siku ikiwemo lugha, michezo, afya pamoja na maarifa ya kijamii kwa ujumla.
View attachment 1744948
Hakuna binadamu yeyote anayefahamu kila jambo hapa duniani ndio maana hata mtunzi wa kalenda hawezi kuijua kesho yake itakuwaje. Hata mimi Infantry Soldier licha ya kuwa ninasomaga vitabu mara kwa mara, bado kuna mambo mengi sana siyafahamu na ninahitaji kujifunza kupitia watu wengine.
View attachment 1744950
Kwa wale ndugu zangu ambao ni wataalam wa lugha ninaomba kufahamu ipi ni phrase sahihi baina ya "for president" na "for presidency" ambayo kwa tafsiri ya harakaharaka ninaweza kusema mchagueni mama watoto wangu Bushmamy kwa "nafasi ya Rais" au "nafasi ya Urais"
View attachment 1744951
==========
NJE YA MADA KIDOGO: Je, Tanganyika Law Society na Tanganyika Legal Society ipi ni sahihi zaidi katika mpangilio mzuri wa sarufi? Nimeamua kuuliza hivi kwa maana kwamba kiingereza nilichofundishwa na mwalimu Fatuma Abdallah ni kwamba adjective hufutana na nouns.
Adjective hufutana na nouns yaaani "Law" na "Society" hizi zote ni nouns ambazo hazikupaswa kufuatana katika kuunda sentensi yenye kuleta maana sahihi bali maneno "Legal" na "Society" hizi ni adjective pamoja na "nouns" ambazo ndio hukubalika katika mpangilio sahihi wa kisarufi katika lugha ya kiingereza
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Mambo vp waungwana wa jamiiforums.
Wagombea wa nafasi huko Tanganyika Law Society (TLS). Je ipi ni sahihi kati ya "For President" au "For Presidency"?
View attachment 1744947
Lengo kuu la kukutana katika platform hii mara kwa mara ni kuelimishana na kusahihishana katika masuala mbalimbali yahusuyo maisha yetu ya kila siku ikiwemo lugha, michezo, afya pamoja na maarifa ya kijamii kwa ujumla.
View attachment 1744948
Hakuna binadamu yeyote anayefahamu kila jambo hapa duniani ndio maana hata mtunzi wa kalenda hawezi kuijua kesho yake itakuwaje. Hata mimi Infantry Soldier licha ya kuwa ninasomaga vitabu mara kwa mara, bado kuna mambo mengi sana siyafahamu na ninahitaji kujifunza kupitia watu wengine.
View attachment 1744950
Kwa wale ndugu zangu ambao ni wataalam wa lugha ninaomba kufahamu ipi ni phrase sahihi baina ya "for president" na "for presidency" ambayo kwa tafsiri ya harakaharaka ninaweza kusema mchagueni mama watoto wangu Bushmamy kwa "nafasi ya Rais" au "nafasi ya Urais"
View attachment 1744951
==========
NJE YA MADA KIDOGO: Je, Tanganyika Law Society na Tanganyika Legal Society ipi ni sahihi zaidi katika mpangilio mzuri wa sarufi? Nimeamua kuuliza hivi kwa maana kwamba kiingereza nilichofundishwa na mwalimu Fatuma Abdallah ni kwamba adjective hufutana na nouns.
Adjective hufutana na nouns yaaani "Law" na "Society" hizi zote ni nouns ambazo hazikupaswa kufuatana katika kuunda sentensi yenye kuleta maana sahihi bali maneno "Legal" na "Society" hizi ni adjective pamoja na "nouns" ambazo ndio hukubalika katika mpangilio sahihi wa kisarufi katika lugha ya kiingereza
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
She is running for presidency to be president once elected,though FOR inamaana nyingi,it might be inamaana ya KUSUDI au KWAAJILI YA.

Hapo Flaviana kakosea. She is running for presidency. After being elected she becomes the President.
I thought the same. Mkuu, jaribu kupitia comments number 2 pamoja na number 13 uone majibu ya wadau.