HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Maendeleo ya watu siyo mabarabara au majumba ya serikali bali maendeleo ni kuwawezesha watu ili waweze kuboresha maisha yao na hasa katika kipengele cha ustawi wa afya za watu ili waweze kuwa na afya njema na kuweza kufanya kazi za uzalishaji.
Ukiwezesha hili basi kodi zitaongezeka kwa watu kufanya kazi kutokana na afya njema yenye kuleta nguvu.
Wagombea wa vyoma vyote mmesahau bima ya afya kwa wote chini ya uboreshaji wa huduma za afya wananchi wanakufa sana kwa kukosa huduma bora za afya ikiwemo na ukosefu wa uhakika wa matibabu!!
Nakushauri tu!