HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Kwa ratiba yenu ya tarehe 29.10.2025 ambayo ni siku ya uchaguzi na kwa asili ya Watanzania walivyo nakuhakikishia uchaguzi utakuwepo na kisheria nyie ndiyo mtahesabika mmeingilia uchaguzi.Hakuna uchaguzi ndio maana sera zao ni rojorojo tu
Kwa ratiba yenu ya tarehe 29.10.2025 ambayo ni siku ya uchaguzi na kwa asili ya Watanzania walivyo nakuhakikishia uchaguzi utakuwepo na kisheria nyie ndiyo mtahesabika mmeingilia uchaguzi.
Kwani kulikuwa na tatizo gani maandamano kufanyika tarehe 28.10.2025?
Kwani ni lazima maandamano yawe ni ya kupinga uchaguzi tu inamaana mambo mengine yoooote yako sawa ila uchaguzi ndiyo hauko sawa??