Wagombea wakuu Urais Guinea-Bissau wadai ushindi kabla ya matokeo rasmi

Wagombea wakuu Urais Guinea-Bissau wadai ushindi kabla ya matokeo rasmi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kufuatia uchaguzi uliofanyika November 23, 2025 nchini Guinea BissauWagombea wawili wanaoongoza katika kinyang’anyiro cha urais wametangaza ushindi huku taifa hilo likisubiri matokeo rasmi. Kambi ya Fernando Dias, anayeonekana kuwa mpinzani mkuu dhidi ya Rais Umaro Sissoco Embaló, ndiyo iliyojiweka mstari wa mbele kudai ushindi. Baadaye, mawakala wa Embaló nao wakasema mgombea wao amepata zaidi ya asilimia 50 ya kura

Matamko haya yanayopingana yameibua wasiwasi kwamba yanaweza kuzua mvutano wa kisiasa katika taifa hilo. Dias ameungwa mkono na Chama cha Afrika cha Ukombozi wa Guinea na Cape Verde (PAIGC), pamoja na aliyekuwa Waziri Mkuu, Domingos Simões Pereira, ambaye jitihada zake za kugombea urais mwaka huu ziliondolewa.

Iwapo Embaló ataweza kupata muhula wa pili, atakuwa kiongozi wa kwanza wa Guinea-Bissau kufanikisha hilo katika kipindi cha takribani miaka thelathini iliyopita.

1764064478298.png

1764064517734.png

===========

The two leading candidates in Guinea-Bissau's presidential have declared victory even as the country awaits official results.

The camp of Fernando Dias, seen as the main challenger to President Umaro Sissoco Embalo was the first to claim victory

Embalo's agents later said their candidate had won more than 50% of the vote to avoid a runoff. Official results were expected later on Tuesday, according to local media

The competing claims could upset the political climate in the small West African country that is prone to army takeovers of power

Dias has obtained the backing of the African Party for the Independence of Guinea and Cape Verde (PAIGC), and former Prime Minister Dominos Simoes Pereira whose own presidential bid was rejected on a technicality

If he secures a second term, Embalo will become Guinea's first leader to achieve the feat in three decades.

The vote is seen one of the most contentious in recent history because of the exclusion of the main opposition party
 
Back
Top Bottom