East African
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 704
- 993
Hawapati kitu! Time will tell!Wabunge waliokuwa chadema na kujiunga CCM wote wamerudishwa isipokuwa Lijualikali alielia bungeni.waliorudishwa ni pamoja na
Cecili mwambie
Mwita Waitara
Mollel
Silinde
Gekul Babati
Dkt. Makundi
Kawe ni ngumu aisee.CCM wamepoteza rasmi hayo majimbo.
Na Kawe , CCM wameipoteza rasmi! Hakuna namna Kawe ya wasomi na watu wanaojiweza kifedha watamchagua Gwajima mtu Mwenye mauchafu ya kujirekodi hadi akizini na wanawake
Hoimusiba vipi
Mbona wapinzani ndo mmeguswa na hii hali sana kuliko wahusika! Tuweni na akiba na manenoCCM wamepoteza rasmi hayo majimbo.
Na Kawe , CCM wameipoteza rasmi! Hakuna namna Kawe ya wasomi na watu wanaojiweza kifedha watamchagua Gwajima mtu Mwenye mauchafu ya kujirekodi hadi akizini na wanawake