Uchaguzi 2020 Wagombea waliohamia CCM wapitishwa na chama kugombea Ubunge

Uchaguzi 2020 Wagombea waliohamia CCM wapitishwa na chama kugombea Ubunge

Wabunge waliokuwa CHADEMA na kujiunga CCM wote wamerudishwa isipokuwa Lijualikali alielia bungeni.waliorudishwa ni pamoja na

Cecil Mwambe - Ndanda
Mwita Waitara - Tarime Vijijini
Dkt. Godwin Mollel - Siha
David Silinde - Tunduma
Pauline Gekul - Babati Mjini
Dkt. Makundi - Ukerewe


Hakuna kitu Waitara aliharibu Ukonga naona kaenda tena kuharibu huko Tarime vijijini
 
Wabunge waliokuwa CHADEMA na kujiunga CCM wote wamerudishwa isipokuwa Lijualikali alielia bungeni.waliorudishwa ni pamoja na

Cecil Mwambe - Ndanda
Mwita Waitara - Tarime Vijijini
Dkt. Godwin Mollel - Siha
David Silinde - Tunduma
Pauline Gekul - Babati Mjini
Dkt. Makundi - Ukerewe

Wagombea Udiwani wote 18 Jimbo la Hai ambao zamani walikuwa wanachama na Madiwani kupitia Chadema wamerudishwa.
 
Yaani Bashite katoswa mazimaaaah!

Wakulialia

Lijualikali limekuwa baridi...
Joshua Nassari karudi Marekani?

Everyday is Saturday......................... 😎
 
Wabunge waliokuwa CHADEMA na kujiunga CCM wote wamerudishwa isipokuwa Lijualikali alielia bungeni.waliorudishwa ni pamoja na

Cecil Mwambe - Ndanda
Mwita Waitara - Tarime Vijijini
Dkt. Godwin Mollel - Siha
David Silinde - Tunduma
Pauline Gekul - Babati Mjini
Dkt. Makundi - Ukerewe
Waitara
Minjino Ronadinyo KITAMBI.
 
Najiuliza Katambi,Gwajima walipata kura pungufu kwenye maoni lakini wameingizwa kwa force...hakuna uwezekano wa wagombea hawa kudidimia zaidi katika mchuano?maana ni kama watu wasiowapigia kura lazima wataongezeka sasa vile wamebandikiwa mtu ambaye si chaguo lao
 
Mwemyekiti anajifanya ana akili kuliko wajumbe waliowwkeza nguvu zao kukijenga chama??
 
Huyo Silinde bora msingempa jimbo kabisa, kwa ile Tunduma ya jana walivyompokea Lissu ndio mmeenda kumsukumia huo mzigo mtoto wa watu!
 
Mm naona kutakuwa na machafuko makubwa sana katika uchaguzi huu kwa kuwa mtu atangazwa tu bila kushinda ili kuonekana walimshauri vizuri mzee baba, Nikipiga narudi nyumbani
 
Naona majimbo mengi ya Kilimanjaro yakarudi CCM mfano:
Vunjo
Moshi vijijini
Rombo na
Siha
Huko kote wameingia maprof wazuri.
Prof Mkenda nae lazima Uwaziri auchukue..

Huyu alishafanya kazi na Magufuli enzi za Mkapa. Yeye akiwa Mkurugenzi wa mawasiliano na Magufuli akiwa Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano
 
Back
Top Bottom