Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Wabunge waliokuwa CHADEMA na kujiunga CCM wote wamerudishwa isipokuwa Lijualikali alielia bungeni.waliorudishwa ni pamoja na
Cecil Mwambe - Ndanda
Mwita Waitara - Tarime Vijijini
Dkt. Godwin Mollel - Siha
David Silinde - Tunduma
Pauline Gekul - Babati Mjini
Dkt. Makundi - Ukerewe
Hakuna kitu Waitara aliharibu Ukonga naona kaenda tena kuharibu huko Tarime vijijini