martial arts Senior Member Joined Jun 26, 2014 Posts 191 Reaction score 100 Dec 26, 2016 #1 kwa nini wagonjwa wa cancer (through my experience) wamekua wakinyoa vipara? Hii ina maana gani?..msaada tafadhali
kwa nini wagonjwa wa cancer (through my experience) wamekua wakinyoa vipara? Hii ina maana gani?..msaada tafadhali
K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,153 Reaction score 18,740 Dec 27, 2016 #2 martial arts said: kwa nini wagonjwa wa cancer (through my experience) wamekua wakinyoa vipara? Hii ina maana gani?..msaada tafadhali Click to expand... Dawa zinanyonyoa nywele,wanaona bora wanyoe kabisa
martial arts said: kwa nini wagonjwa wa cancer (through my experience) wamekua wakinyoa vipara? Hii ina maana gani?..msaada tafadhali Click to expand... Dawa zinanyonyoa nywele,wanaona bora wanyoe kabisa
lucley JF-Expert Member Joined Jun 15, 2016 Posts 727 Reaction score 1,986 Dec 27, 2016 #3 Ni kwa wale wanaotumia chemotherapy huwa zina tabia ya ku supress body immune hivyo kupelekea kunyonyoka nywele (kama HIV+).
Ni kwa wale wanaotumia chemotherapy huwa zina tabia ya ku supress body immune hivyo kupelekea kunyonyoka nywele (kama HIV+).
STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,076 Reaction score 17,247 Dec 27, 2016 #4 jifunzeni jinsi ya kujitibia kansa kupitia kwa Deception