Wagonjwa wa cancer!

Wagonjwa wa cancer!

martial arts

Senior Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
191
Reaction score
100
kwa nini wagonjwa wa cancer (through my experience) wamekua wakinyoa vipara?
Hii ina maana gani?..msaada tafadhali
 
Ni kwa wale wanaotumia chemotherapy huwa zina tabia ya ku supress body immune hivyo kupelekea kunyonyoka nywele (kama HIV+).
 
Back
Top Bottom