Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

Amani iwe juu yenu nyote

Jana asubuhi na mapema kulizuka uvumi wa wagonjwa wa wa corona kudaiwa kutoroka hospitali ya Amana walipokuwa wakipatiwa matibabu.

Baadae DC wa ilala alijitokeza na kukiri hiyo hali kutokea.

Kwenye maelezo yake DC anadai wagonjwa walikuwa wakilazimisha waachiwe ili wakajitibu wenyewe wakiwa nyumbani.

Kutokana na tukio hilo, tujiulize kipi hasa kimepelekea hao wagonjwa kushinikiza kuondoka ilihali wapo sehemu salama(hospitali)?

Je, huduma inayotolewa hapo hospitalini hailizishi, jambo linalopelekea wagonjwa kudai kuondoka?

Mpaka muda huu tunaozungumza ugonjwa wa corona hauna chanjo wala dawa. Je huko hospitalini wanapatiwa matibabu gani?

Serikali kudai wagonjwa wanaendelea kupatiwa matibabu ni kauli ya geresha kuwatoa hofu watu ila wakifika huko wanatelekezwa?

Tusemezane kwa upole mpaka majibu yapatikane
Umenena vyema na pia Umeuliza swali zuri sana.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kunywa chai ni kuingiza kitu cha moto. Wangapi wamekufa kwa kujifukizia .Tuachie tujaribu maana dawa haijapatikana bado.
Utajaribu hadi kula mavi mtaalamu kakuambia mfumo wa hewa haujatengenezwa ww maamuma wa kiwalani unasema unajaribu.
Ujinga huu!!
 
chama mpangala, Halafu ukikamatwa kwa upuuzi utalalamikia serikali?
kwanza unalifahamu geti la amana?

Unaifaham au kuwahi fika amana?
Umenifanya nitoke nje nione hapo amana getini kuna nini mwsho wa siku nmemuona mlinzi kapiga zake pozi tu,
Usipende kujitafutia matatizo yasiyo ya lazima.
Shauri yako usiseme hukuambiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo hadi Pierre Liquid katoroka
 
Msanii Pierre Likwidi aongoza wagonjwa wa CORONA Amana Hospital Kuvunja geti na kukimbia. Wagonjwa wote wa Corona wamekimbia toka hospitalini hapo na kuingia mtaani.

Inasemekana hali ni mbaya watu wamekuwa wakifya na kuhachwa hali iliyopelekea wagonjwa wengine kuamua kukimbia
Mkuu liquid alikuwepo?
 
Back
Top Bottom