Wagonjwa wa COVID19 nchini Kenya wafikia 320

Ninakumbuka vijana wa Tanga walikuwa wanaendesha magari kuwahi disco Mombasa miaka hiyoo.
 
Ninakumbuka vijana wa Tanga walikuwa wanaendesha magari kuwahi disco Mombasa miaka hiyoo.

Ndugu hadi kwenye majanga, ila ndio hivyo sisi wa mikoani huwa tunasema kuingia Mombasa huwa harusi ila kutoka labda kwa msiba....nilikuta hicho kitu Bongo pia, watu wa mikoa mingine kama kanda ziwa au kaskazini wakiingia Tanga huachia vyote na kurudi mifuko ikiwa mitupu.
 
Kuna Mnyakyusa alileta mchele Tanga kutoka Kyela. Alikutana na Mwanauani akakaribishwa mjini. Mwalafyale aliuza mchele akaanza kula faida. Alipomaliza faida akala mtaji, alipomaliza kula nailuli ilibidi atafutiwe kibarua bandarini.

Baada ya miaka mitatu ndugu walitoka Kyelakumtafuta, wanamkuta Mwalafyale ana kikoi kiunoni.
 

Hehehe!! Hiyo Pwani hiyo...
 
Hatimaye umekuja, kuna mwenzako huyu Smart911 hukutag sana akikuita uje, tumefurahi kukuona, avatar yako nimeona sababu za akumfanya jamaa adate, yaani hata mimi imeniacha hoi.

Hapa tunaongelea habari ya idadi ya waathirika wa Covid19... Mengine niachie mwenyewe...

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…