Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ninakumbuka vijana wa Tanga walikuwa wanaendesha magari kuwahi disco Mombasa miaka hiyoo.Mombasa mbona hali inakua tete hivi, wanafukuzia Nairobi balaa.
Wawe makini sana huko japo wana undugu na watu wa Tanga na kule Zenji, ila kwa sasa wazuie kuruhusu muingiliano, kila mtu abaki kwenye nchi yake kwanza tupambane na hiki kitu, baada ya hapo ndio wataruhusu watu kuingia ingia.