Wagonjwa wa COVID19 nchini Kenya wafikia 320

Wagonjwa wa COVID19 nchini Kenya wafikia 320

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt Mercy Mwangangi ametangaza wagonjwa wapya 17 wa Virusi vya Corona na maambukizi yaliyorekodiwa nchini humo yamefikia 320

Amesema wagonjwa hao wote ni Wakenya, 12 wametokea Mombasa na watano ni kutoka Nairobi.

Pia wagonjwa wengine 6 wamepona na mpaka sasa idadi ya waliopona ni 89

======

Kenya has confirmed 17 more cases of the new coronavirus, bringing the total number of confirmed infections to 320.

12 of the new cases are from Mombasa while 5 are from Nairobi.

Speaking on Thursday from Afya House, Health Ministry CAS Dr Mercy Mwangangi noted that 15 of the new cases were picked by the ministry’s surveillance team.

2 cases are from tests carried out at the designated quarantine centres.

The Ministry of Health (MoH) has tested 668 samples in the last 24 hours with the bulk of the tests – 478 samples- being tested in Nairobi which is leading with the number of infections.

At the same time, Kenya has confirmed 6 more recoveries from the new coronavirus bringing the tally of recoveries to 89.

The MoH has also noted with a lot of concern that Kenyans are over-relying on hand sanitizers while washing hands with running water and soap remains the most effective way.

“We have noticed a worrying over-reliance on sanitizers while sanitizers are effective, soap & running water is the best for fighting this disease. People must therefore start prioritizing washing hands & only sanitize in conditions where sanitizing will be useful”Dr. Mwangangi said.

Source: Citizen TV
 
Mombasa mbona hali inakua tete hivi, wanafukuzia Nairobi balaa.
Wawe makini sana huko japo wana undugu na watu wa Tanga na kule Zenji, ila kwa sasa wazuie kuruhusu muingiliano, kila mtu abaki kwenye nchi yake kwanza tupambane na hiki kitu, baada ya hapo ndio wataruhusu watu kuingia ingia.
 
Poleni sana majirani... Pamoja na lockdowns lakini bado...

Cc: mahondaw

Tumepima zaidi ya watu 20,000 waliosakwa kote (contacts) na kugundua waathirika 320
Nyie mumepima 2,000 na kupata 284
Hapo kwa mahesabu ya kichekechea utaona nani jitihada zake zina unafuu fulani. Maana nyie kwa mpigo mmoja mnapata waathirika 53, kitu kama hicho hatujakumbana nacho. Mumepima watu wachache na kutufukuzia, je mngekua na uwezo kama wa kwetu wa kupima zaidi ya watu 20,000.
 
Kwetu ni hao hao, hawataongezeka tena...

Cc: mahondaw
 
Kwa mikwara ya hotuba ya juzi, ni kweli hawataongezeka tena, sidhani kama kuna waziri mwenye ujasiri wa kutaja ongezeko la wagonjwa tena.

Tushaanza kupenyesha... idadi ya wanaopona inaongezeka...

Cc: mahondaw
 
Hivi wewe hauwezi kuongea bila kuitaja TANZANIA?
Tumepima zaidi ya watu 20,000 waliosakwa kote (contacts) na kugundua waathirika 320
Nyie mumepima 2,000 na kupata 284
Hapo kwa mahesabu ya kichekechea utaona nani jitihada zake zina unafuu fulani. Maana nyie kwa mpigo mmoja mnapata waathirika 53, kitu kama hicho hatujakumbana nacho. Mumepima watu wachache na kutufukuzia, je mngekua na uwezo kama wa kwetu wa kupima zaidi ya watu 20,000.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi huku wamepona 100 ndani ya suku moja. Na nyie wakenya anzeni kujifukiza.
Screenshot_20200423-204027_Google.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamepona wengine 10...

Cc: mahondaw

Hongereni sana kwa hivyo mnao 110 waliopona, hapo mumetuzidi kwa idadi ya waliopona, yaani mumefanya miujiza ya ghafla, dah! Hiki kitu kikitutesa sana huku Kenya itabidi tukimbilie kuja huko na sisi tutumie chochote mnachotumia kupona fasta kihivyo.
 
Karibu sana...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom