Wagonjwa wadaiwa kusafirishwa kwa Machela za Miti Njombe

Serikali yenyewe haiwezi kupanga vitu vyake, sembuse hao wananchi.
 
Hayo mapato utakuta 30% yanaingia kwenye ununuzi wa ma gari ya kifahari kama alivyosema Polepole
 
Umeongea kilimbukeni, utaratibu wa kuanzishwa kijiji upo wazi kabisa, hakuna watu wanaweza kuanzisha kijiji bila kufuata utaratibu
 
Ficha ujinga wako,mbona siku ya uchaguzi tume huwa inafika huko.
Yaan hapa wewe ndiye unaye onekana mjinga zaid kwa sababu hujaelewa context ya nilicho kiandika ila umekurupuka tu kujibu kisiasa ila wenye akili timamu kabisa na walio komaa kifikra wamenielewa
 
Hiyo machela ipo mswano sana, safe and reliable
Kwa muundo wa vijiji ulivyo tanzania hiyo ya kusafirisha wagonjwa haita kwepeka hata kama hospitali itajengwa kila kijiji maana hata ndan ya vijiji kuna ndani mlimani huko watu wameweka vijumba huko kwa hiyo kumpeleka mgonjwa lazima abebwe tu maana si gari wa pikipiki inaingia huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…