Wagonjwa wenye matatizo ya akili watoroka hospitali

Wagonjwa wenye matatizo ya akili watoroka hospitali

Mbona wakenya vicha walio toroka wengi wamo humu JF, nakushauri ongeza kufuli kwenye mlango wako ulale salama .....haha.
Sijui itakuwaje, kuna wengine mabondia wametoroka!!
 
Kenyan teachers are now the third highest paid teachers in africa after morroccan and south afican Teachers in afew months when a kenyan doctor is earning more than a Tanzanian MP come and tell me what you think

View attachment 442976
Na wewe ni miongoni mwa waliotoroka? Naona kwenye biriani unaweka mafuta ya taa!
 
Hivi mnafikiri ni utani, hebu wacheki hapo kwenye hii video:
nimekamatwa jioni hii, dua zenu jamani..
Mnajua kutunga hadithi, mnastahili oscar
Kenyan teachers are now the third highest paid teachers in africa after morroccan and south afican Teachers in afew months when a kenyan doctor is earning more than a Tanzanian MP come and tell me what you think

View attachment 442976

Standard Digital News - KTN NEWS : KTN Video | Video shows persons with mental disability jump over Mathare Mental Hospital's fence
 
Kumbe nawe ulitoroka. Jisalimishe polisi fasta, kabla hawajakupokonya kishumbusi unachotumia
nmekamatwa mitaa ya pangani, ika sasa hivi nipo ward 9.. mwaweza kuja kunisabahi. pia kuna mtz mmoja humu hospitalin Annael
 
nmekamatwa mitaa ya pangani, ika sasa hivi nipo ward 9.. mwaweza kuja kunisabahi. pia kuna mtz mmoja humu hospitalin Annael
Ni Pangani ya hapa Ilala au kule Tanga? Kama upo Mitaa wa Pangani ya Ilala hebu piga hodi hapo Polisi waombe wakupe lifti ya kwenda Mirembe.
 
Ni Pangani ya hapa Ilala au kule Tanga? Kama upo Mitaa wa Pangani ya Ilala hebu piga hodi hapo Polisi waombe wakupe lifti ya kwenda Mirembe.
pangani nairobi, sio mbali na hospital, sasa ivi tunalia kwi kwi kwi na ndugu yngu Annael hamna madawa!
 
Ooh kuna mmoja kachangia kwenye post yangu inayomhusu Omondi nikajua tu moja kwa moja huyu ni case

Najua unachomaanisha, kuwa huru kunitaja tu, hii ni JF.
Hatuwezi sote kuwa na mawazo yanayofanana, labda yakinzane, huenda unichukuavyo nami pia nakuona kama kichaa vile (*huenda*)
Kunradhi!
 
Najua unachomaanisha, kuwa huru kunitaja tu, hii ni JF.
Hatuwezi sote kuwa na mawazo yanayofanana, labda yakinzane, huenda unichukuavyo nami pia nakuona kama kichaa vile (*huenda*)
Kunradhi!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] quoted me wrong...sina misimamo rigid
 
Back
Top Bottom