hahahaMkuu Kobello
Endelea kutafiti.
usiufunge sana ubongo wako, open yourself some doors kuna more infos to come.Endeleeni kudanganyana mkidhani ukimwi utaisha!
Kumbe utafiti wenyewe upo kwenye hatua za panya..? Bado sana
Watoto waliozaliwa na virus wamekosa uaminifu wapi? Mgonjwa aliyeongezewa damu iliyoscreeniwa na Elisa test ilhali donor amepata maambukizi a week before kisa hakuna damu salama maana kituo cha damu salama hakijatuma damu amekosa uaminifu wapi?Dawa ya ukimwi ni "uaminifu tu" nyingine ni porojo.
Kinga ni bora kuliko tiba.
wampe kapuya kwanza
Mleta uzi kama siyo Muathirika basi atakuwa ni Mzinzi aliyekubuhu..jinsi alivyoiandika Title daah kafurahi kweli.
Dawa ya ukimwi ni "uaminifu tu" nyingine ni porojo.
Kinga ni bora kuliko tiba.
Keep hoping with your hopeless hopes!!!usiufunge sana ubongo wako, open yourself some doors kuna more infos to come.
Utaisha, si leo wala kesho lakini UTAISHA! Kuna magonjwa yalitisha kuliko UKIMWI lakini wataalam waliyapatia dawa.
Good news to some extent ,inafahamika kabla ya 2024 dawa itakua imepatikana