LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,209
Watoto waliozaliwa na virus wamekosa uaminifu wapi? Mgonjwa aliyeongezewa damu iliyoscreeniwa na Elisa test ilhali donor amepata maambukizi a week before kisa hakuna damu salama maana kituo cha damu salama hakijatuma damu amekosa uaminifu wapi?
Au mume/mke aliye tulia nyumbani ameletewa virus na partner wake kakosa uaminifu wapi?
alikovipata ndio kakosa uaminifu?
kiukweli tutabwabwaja wee na kulalama weee ila ukimwi huambukizwa kwa njia ya ngono 2 hata kama utakuwa mtulivu vipi na mwaminifu lakini mwenza wako ndio kakuletea basi ujue ngono imehusika hapo.
hata kama mtoto kazaliwa nao lakini mzazi wake ngono ilihusika kuupata so tukiacha uzinzi mambo yatakuwa shwari