Wagundua sumu ya kuua VVU mwilini


alikovipata ndio kakosa uaminifu?
kiukweli tutabwabwaja wee na kulalama weee ila ukimwi huambukizwa kwa njia ya ngono 2 hata kama utakuwa mtulivu vipi na mwaminifu lakini mwenza wako ndio kakuletea basi ujue ngono imehusika hapo.
hata kama mtoto kazaliwa nao lakini mzazi wake ngono ilihusika kuupata so tukiacha uzinzi mambo yatakuwa shwari
 
sana tu mjomba,kavu ni tamu sana kuliko na maganda yake
 
2shachokaaaa kila siku 2 dawa imepatikana ,then wanapotelea mitini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…