Waha /Abaha ni Wanyarwanda?

Waha /Abaha ni Wanyarwanda?

Naungana na wewe CCM inatapanya taifa Bora kwa pk anajenga nchi yake NI Bora niende huko nikakae kwenye nchi Safi na elimu Safi .

Mkuu hao waliopo Rwanda wanatamani kutoka lakini hawawezi
 
Hiyo ni kawaida mkuu,,,

Wazungu walipokua wanagawa mipaka hawakuzingatia jamii za watu au makabila yaliyoishi humo wao waligawana kwa kuzingatia maslahi yao!!…Hivo Ramani zilizopo leo africa n za wakoloni na ziligawa jamii moja ya watu au kabila moja la watu na kuwafanya wawe nchi moja ua mbili tofauti.

Mfano masai wapo Tanzania na kenya
makonde wapo Msumbiji na Tanzania
Wajaruo wapo tanzania na kenya
Wahaya wapo tanzania na kenya

Ingawa baada ya muda kabila moja lililokua nchi tofauti huwa tofauti sana kutokana na kutengana kwa muda mrefu
Hao Wahaya wa Kenya majina yao ni kama yapi kwa pande zote mbili?

Mwanzo umeanza vizuri .

Ni kweli maasai wapo Kenya na Tanzania ,kadhalika Wajaluo ,wapo Tanzania ,Kenya , na Uganda (wapo wachache)

Ila nadhani ulitaka kumaanisha wahaya wapo Tanzania na Uganda japo kila upande wanatambulika kwa kabila tofauti ila majina ya kufanana yapo ,maana akina Tusiime wapo Tanzania na Uganda wapo ila sio Kenya.
 
Kumradhi mkuu nilitaka kumaanisha uganda na tz
 
Huu ni wehu flani wa kupenda superior race
Wazenji wote wanadhani waarabu
Waha wengi husema wao watusi
Sijawahi kusikia muha akijinadi kuwa mtusi, muha anajinadi kulingana na miiko ya ukoo wake, kinyume chake ni sahihi, ni rahisi kwa muha kumgundua mtusi au mhutu.
 
Unyaruwanda ni utaifa, hata Mzaramo, Musukuma, mzungu, Mwarabu n.k anaweza kuwa Mnyarwanda
 
Kama tuna Watanzania wenye asili ya Uingereza kina Mr. Mabala, hao wenye asili ya Rwanda na Burundi si ajabu.

Tanzania imejengwa kwa umoja wa kitaifa, si kwa ukabila.
 
Back
Top Bottom