Waha hamjajengewa hilo Sanamu la Samaki Mgebuka hapo ili muende na Sahani zenu za Ugali mkanyofoe mkidhani ni Kitoweo / Mboga

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nawajua sana jinsi Waha mlivyo Mambwigira / Washamba na sasa baada ya Kujengewa hilo Sanamu la Samaki hapo barabara ya Mwanga wengi wenu mtaanza kuwa mnapika tu Ugali huko Makwenu na Kubeba sahani mkienda nazo lilipo hilo Sanamu na Kuanza Kunyofoa mkidhani labda ni Samaki ( Mgebuka ) wa ukweli ukweli wakati kumbe siyo.

Nimeona nitoe tu Tahadhari hii mapema Kwenu ili msije mkazidi Kuonekana Kituko kwa Watanzania japo tayari tokea Siku nyingi sana Waha, Wahaya, Wanyiramba, Warangi, Wanyaturu na Wakara ndiyo mnajulikana Makabila yaliyojaa Mambwigira / Washamba watupu hapa Tanzania na hili wala halina Ubishi wowote ule.

Baada ya Serikali na Mamlaka ya Tanzania kuamua Kujenga Mnara huo wa Samaki aina ya ‘ Mgebuka ‘ na Mimi GENTAMYCINE naiomba Serikali na Mamlaka zake ziweke pia ‘ Mnara ‘ mkubwa wa Mtu ishara ya ‘ Mwanajeshi ‘ aliyevalia Kijeshi na kuwa na Vifaa vyote muhimu na pembeni yake kuwe na Kifaru Kikubwa cha Kijeshi kama ishara Kuu ya Mkoa wa Mara ( Musoma ) ambapo hapa Tanzania ndiyo kuna ‘ Wanamume ‘ pekee huku Mikoa mingine ikiwa ina ‘ Wanaume ‘ tu hasa hasa Mikoa ya Kigoma, Kagera, Singida, Dodoma na Mwanza.

Watani mpo!!!!!!!

Nawasilisha.
 
Ficha ujinga muha gani mshamba kUzidi watumiao nguvu kuliko akili wasukuma ww acha zako
 
Duuuuu!!!!!!!!
 
Hii hapa
Screenshot_20190315-145531.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom