Waha na Wakinga wanapesa ila wanaongoza kuishi maeneo yasiyopimwa (Uswazi); Kabila gani jingine linapenda msongamano?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Waha wangeamua kuishi kifahari wangeweza ila wengi wanapenda kuficha utajiri wao. Ni mara chache sana kuwakuta Waha wakiishi maeneo ya uzunguni.

Hata awe na pesa kiasi gani atakwenda kununua kiwanja eneo lisilopimwa. Yupo tayari ameseme ana viwanja hata kumi ila vyote hakuna chenye sqm 1000.

Wakinga na watu wa Iringa nao wapo ze same. Kila wanapoishi lazima pawe uswazi. Wanapesa nyingi lakini si kijijini wala mjini hakuna anayeishi kwenye estate. Muda wote wapo gengeni.

Wenzetu Wapemba nao wanapesa lakini maisha yao yamejaa ujamaa mfano nzuri nenda Kigamboni, Temeke na Mbagala uone wanapoishi Wapemba. Watu maelfu wamesongamano kwenye maeneo madogo madogo ya ardhi

Wajita, Wakurya na wajaluo nao pia wamesoma soma ila linapokuja suala la kujenga na kuishi wapo zero.

Nenda Tarime waangalie nyumba zilivyojengwa vibaya, Nenda Mara kwa ujumla na kwa DAR es salaam nenda GOngo la Mboto na Chanika uone msongamano. Unajiuliza wanasoma ili wafaulu na siyo kusoma wajifunze namna bora ya kuishi?

Kwanini makabila haya yanashindwa kuiga kwa Wahaya, Wachaga, Wanyakyusa nk? Ukienda Arusha, Kilimanjaro, Bukoba na maeneo ya Masaki, Tegeta, Mbezi na viunga vyake kuna mijengo ya ukweli.

Kuna masuper market na yote yanamilikiwa na makabila haya matatu. Ila naamini Wapemba, Waha, Wakinga nk wana fedha nyingi mara nyingi zaidi kuzidi Wabaya, Wanyakyusa na Wachaga ila wamezidiwa maarifa

Uzi huu unalenga kuwafungua macho waha, Wakinga, Wapemba, wajaluo, wajita ,Wakurya na hata Wasukuma kwamba wanapaswa kuishi kulingana na pesa zao waache kuishi kinyonge mjini
 
Umefika kasulu ukaona mijengo au umekariri tu huko dasalamu?

Unataka kusema makamo mpando, diamond, jack WA mengi, zitto, mwijaku na kiba wanaishi kwenye uchochoro?

Punguza dharau kwa Waha bwana kidogo. Ngo ukizingua ebwana utageuzwa sungura jike
 
Waha wangeamua kuishi kifahari wangeweza ila wengi wanapenda kuficha utajiri wao. Ni mara chache sana kuwakuta Waha wakiishi maeneo ya uzunguni.

Hata awe na pesa kiasi gani atakwenda kununua kiwanja eneo lisilopimwa. Yupo tayari ameseme ana viwanja hata kumi ila vyote hakuna chenye sqm 1000.

Wakinga na watu wa Iringa nao wapo ze same. Kila wanapoishi lazima pawe uswazi. Wanapesa nyingi lakini si kijijini wala mjini hakuna anayeishi kwenye estate. Muda wote wapo gengeni.

Wenzetu Wapemba nao wanapesa lakini maisha yao yamejaa ujamaa mfano nzuri nenda Kigamboni, Temeke na Mbagala uone wanapoishi Wapemba. Watu maelfu wamesongamano kwenye maeneo madogo madogo ya ardhi

Wajita, Wakurya na wajaluo nao pia wamesoma soma ila linapokuja suala la kujenga na kuishi wapo zero.

Nenda Tarime waangalie nyumba zilivyojengwa vibaya, Nenda Mara kwa ujumla na kwa DAR es salaam nenda GOngo la Mboto na Chanika uone msongamano. Unajiuliza wanasoma ili wafaulu na siyo kusoma wajifunze namna bora ya kuishi?

Kwanini makabila haya yanashindwa kuiga kwa Wahaya, Wachaga, Wanyakyusa nk? Ukienda Arusha, Kilimanjaro, Bukoba na maeneo ya Masaki, Tegeta, Mbezi na viunga vyake kuna mijengo ya ukweli.

Kuna masuper market na yote yanamilikiwa na makabila haya matatu. Ila naamini Wapemba, Waha, Wakinga nk wana fedha nyingi mara nyingi zaidi kuzidi Wabaya, Wanyakyusa na Wachaga ila wamezidiwa maarifa

Uzi huu unalenga kuwafungua macho waha, Wakinga, Wapemba, wajaluo, wajita ,Wakurya na hata Wasukuma kwamba wanapaswa kuishi kulingana na pesa zao waache kuishi kinyonge mjini
Hayo makabilanyamejaanwachawi, wanakula watoto wao na kuwafanya mazezeta ili wawe na pesa. Mbaya zaidi wanapewa masharti magumu sana kwenye matumizi
 
Back
Top Bottom