KERO Wahadhiri MUST wenye shahada ya kwanza wanafundisha mpaka wanafunzi wa mwaka wa nne

KERO Wahadhiri MUST wenye shahada ya kwanza wanafundisha mpaka wanafunzi wa mwaka wa nne

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Joined
May 5, 2024
Posts
20
Reaction score
11
Chuo cha MUST kina vijana wahadhiri wengi wameishia degree ya kwanza wanafundisha mpaka mwaka wa nne uhandisi. Ni wasumbufu mno wanachosha.

Ingependeza waishie kufundisha mwaka wa kwanza basi . Tunachoka
 
MUST ni chuo gani?
au ndo Mbeya University of Science and Technology??
Vyuo vingine ni tiamajitiamaji kupiga hela na kupoteza umri wa watoto wetu mwisho wa siku maarifa zero
 
ndo shida hio hata polisi wasio na cheo wanakua wasumbufu sana
 
Back
Top Bottom