KERO Wahadhiri MUST wenye shahada ya kwanza wanafundisha mpaka wanafunzi wa mwaka wa nne

KERO Wahadhiri MUST wenye shahada ya kwanza wanafundisha mpaka wanafunzi wa mwaka wa nne

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Soma chuo ww acha kulialia...kuwa na masters haimaanish kuwa anajua sana....sasa ww fundi unachagua mwalimu.
 
Hao wajuba wanaishia kwenye kusimamia mitihani tu.

Kumbe hapo wanafika hadi huko? Duuuuh.
 
Back
Top Bottom