Addes_Tech_School
Member
- May 5, 2024
- 20
- 11
Kivipi?wanachosha
Wanafundisha kozi gani mkuu?Chuo cha MUST kina vijana wahadhiri wengi wameishia degree ya kwanza wanafundisha mpaka mwaka wa nne uhandisi. Ni wasumbufu mno wanachosha.
Ingependeza waishie kufundisha mwaka wa kwanza basi . Tunachoka
Wasumbufu kwa namna gani?Chuo cha MUST kina vijana wahadhiri wengi wameishia degree ya kwanza wanafundisha mpaka mwaka wa nne uhandisi. Ni wasumbufu mno wanachosha.
Ingependeza waishie kufundisha mwaka wa kwanza basi . Tunachoka
Assignment za kutosha zisizo na marks, pengine kufanya assignment hiyohiyo Mara kibao, miosho mingi ,test zisizo na uhalisia wa kinachofundishwa n.kWasumbufu kwa namna gani?
Eleza kwa uwazi ili ueleweke.
COLLEGE CET , Department EPEDuuu, department gani
For sure department ya EPE wanazinguaHata mhadhiri wa degree moja haruhusiwi kumfundisha mtu wa degree.unamfundisha nini huku maarifa mnalingana.
Usimamzi mbovu wa Serikali unaua elimu
MBEYA SCIENCE OF TECHNOLOGY (MUST)MUST ni chuo gani?
Electrical and Electronics engineering and related staffsWanafundisha kozi gani mkuu?
Sure I wish someone talks on this some are just graduates of DIT and UDSMMasters degree tena iliyonona ndio unaruhusiwa kufundisha chuo kikuu.
Poleni sanaChuo cha MUST kina vijana wahadhiri wengi wameishia degree ya kwanza wanafundisha mpaka mwaka wa nne uhandisi. Ni wasumbufu mno wanachosha.
Ingependeza waishie kufundisha mwaka wa kwanza basi . Tunachoka
Tunaambiwa wahusika wako masomoniPeleka ombi chuoni
Vyuo vingine ni tiamajitiamaji kupiga hela na kupoteza umri wa watoto wetu mwisho wa siku maarifa zeroMBEYA SCIENCE OF TECHNOLOGY (MUST)