Hii dukuduku yako nadhani inahusu mfumo mzima wa elimu yetu...huwa tunalishwa mambo mengi sana ambayo hayana application katika mazingira tunayoishi. Ndio maaana Rwanda wao wameamua kufumua mfumo wao wa elimu na kuufanya uendane na mazingira yao.We measure Cognitive, Affective, and Psychomotor Domain. Je, Magwiji wa MaProf. Wanaowakalilisha nadharia vijana wetu bila uhalisia kuwaonyesha wanawasaidia nini??????!!!!!!
Mkuu registration number sio shida sana ndio maana hata NECTA huweka namba za watahiniwa mitandaoni badala ya majina.Umekosea ulipoweka hiyo registration number ya mwanafunzi! Kwa kifupi anasoma mwaka wa pili agricultural general!!
Mkuu ndio maana nimefuta sehemu ya jina ikabaki registration number ili watu wa SUA waliopo humu watusaidie maana kama ningeficha hiyo namba wangebisha kwamba hiyo paper haijatoka SUA.Ni kweli kabisa kiwango cha elimu kimeshuka na hatutegemei kijana wa ngazi hiyo ya elimu kupewa mtihani wa kujaza nafasi zilizo wazi halafu akapata hicho alichopata.
Lakini Mzee mbona mnatangaza matokeo na jina la jamaa bila idhini yake? Ujue matokeo ya mtu ni siri. Ssa hapa unapomuanika AGC/D/1217/0036 ujue huo sio uungwana kabisa?
ngazi za chini ya hapo,usimlaumu muhadhiri kwa ukilaza wa mwanafunzi wa chuo,A level tu yampasa kujitafutiaanatengenezwa wapi mkuu? kumbe hivi vyuo vikuu vinatengeneza nini?
Nimeona, Ukirigulu, Mlingano,- (these are agricultural training institutes) for example wanaweza kuwa na dept kama hiyo! Am I right?Ni level ya chuo kikuu (SUA) mkuu. Angalia kule juu paper imeandikwa "DEPARTMENT OF FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY".
Masiya be serious! Hata kama ni test , siyo ya level ya degree. Tumesoma sote hayo masomo au yanayofanana na hayo. Degree level ina viwango vyake hata kama ni test! Vyuo vingi duniani si kweli, vya wapi? Tupe mfano, siyo revelations. Ndio maana elimu is hopeless nowadays!Sidhani kama hiyo paper inadhihirisha ukilaza wa mhadhiri. FT 211 Principles of Food Processing and Preservation ni elective course inayotolewa kwa degree 3 (Agric. General, Human Nutrition na Family and consumer studies).
Hiyo ni Test1, ulitakiwa upitie test nyingine na final exam (end of semester examination) tuone zikoje. Kama Test ya kwanza labda mambo hayajaiva sana na mwalimu anafocus mainly kwenye factual information.
Maswali ya kujazia sioni kama ni tatizo hasa kama hatuna course objectives. Pia kuna issue ya ukubwa wa madarasa ambayo kwa sasa ina athiri vyuo vingi SUA ikiwemo na pia mwalimu ana masomo mangapi (teaching load) n.k. hivi vyote kwa kiasi fulani vinaweza vikapelekea maswali ya aina hiyo (kujazia na MCQ). Maswali aina hiyo pia hupatikana vyuo vingi duniani.
Tusisahau swala la course hii inafundishwa kwa undani kiasi gani ukichukulia kuwa wanafunzi wanao ichukua siyo wa food science and technology.
Hapa sina nia ya kutetea wahadhiri inawezekana kweli akawa kilaza-lakini evidence/ushahidi ulio toa haujitoshelezi kufikia msimamo uliochukua. Fanya uchunguzi zaidi kuhalalisha hitimisho lako.
Ndio. Aje atuambie ni chuo kikuu kipi kinachotunga mitihani ya kijinga kama hii mbali na SUA.Masiya be serious! Hata kama ni test , siyo ya level ya degree. Tumesoma sote hayo masomo au yanayofanana na hayo. Degree level ina viwango vyake hata kama ni test! Vyuo vingi duniani si kweli, vya wapi? Tupe mfano, siyo revelations. Ndio maana elimu is hopeless nowadays!
HAUNA TOFAUTI NA MASWALI YALIOKUWA YANANIPA UMAARUFU PRIMARY!Mkuu mtihani wa levo ya chuo kikuu unakuwa wa kitoto kama huu? Maswali ya filling in the blanks? You can't be serious. Ndio maana kumbe vilaza wameongezeka siku hizi.
Masiya be serious! Hata kama ni test , siyo ya level ya degree. Tumesoma sote hayo masomo au yanayofanana na hayo. Degree level ina viwango vyake hata kama ni test! Vyuo vingi duniani si kweli, vya wapi? Tupe mfano, siyo revelations. Ndio maana elimu is hopeless nowadays!
Ndio. Aje atuambie ni chuo kikuu kipi kinachotunga mitihani ya kijinga kama hii mbali na SUA.
Asante ngoja tusome links contents. Sasa wewe umekuwa objective! NiceMada ilisema kuna walimu vilaza na kutoa mfano wa paper hiyo ya SUA na mjadala ukawa kuhusu quality ya hiyo paper kwamba haikidhi quality ya chuo. Mimi nikasema huwezi ku conclude mwalimu ni kilaza kwa kuangalia hiyo paper pekeyake. Mkasema hata kama ni test bado haukidhi level ya degree (ya kijinga kijinga) na kudai mfano wa chuo apart from SUA chenye test kama hizo.
Evaluation instrument uliyoweka inatumia fill in the blank type of test au wengine wanaita completion test na wachache wanaiweka kwenye short answers kwani mwanafunzi ana supply a word or a phrase. Wataalam wanasema ni nzuri kwa kutest factual information ( Kwa test ya kwanza unaweza ukafocus on terminologies etc). Sitawapa mfano wa chuo kinachotumia aina hii ya test lakini ninawapa references kuhusu testing ambazo hutumika na vyuoni kutoka hukohuko ughaibuni. Natarajia mtafanya homework ili kupata jibu.
https://www.depts.ttu.edu/tlpdc/Res.../HowdoICreateaTestforMyStudentswhitepaper.pdf
Types of Questions
LibGuides: Learning skills: Fill-in-the-blank questions
Assessment by Richard Hall
Namalizia kwa kusema niko serious na nilichoandika.
Nimepitia, ni kweli fill in the blanks ni type of test allowed even at a university level. LAKINI: contents/details/framing za swali matters a lot! Maswali ya SUA (kama kweli ni ya SUA) yako under detailed???? (sijui niiwekeje) for a University student.Mada ilisema kuna walimu vilaza na kutoa mfano wa paper hiyo ya SUA na mjadala ukawa kuhusu quality ya hiyo paper kwamba haikidhi quality ya chuo. Mimi nikasema huwezi ku conclude mwalimu ni kilaza kwa kuangalia hiyo paper pekeyake. Mkasema hata kama ni test bado haukidhi level ya degree (ya kijinga kijinga) na kudai mfano wa chuo apart from SUA chenye test kama hizo.
Evaluation instrument uliyoweka inatumia fill in the blank type of test au wengine wanaita completion test na wachache wanaiweka kwenye short answers kwani mwanafunzi ana supply a word or a phrase. Wataalam wanasema ni nzuri kwa kutest factual information ( Kwa test ya kwanza unaweza ukafocus on terminologies etc). Sitawapa mfano wa chuo kinachotumia aina hii ya test lakini ninawapa references kuhusu testing ambazo hutumika na vyuoni kutoka hukohuko ughaibuni. Natarajia mtafanya homework ili kupata jibu.
https://www.depts.ttu.edu/tlpdc/Res.../HowdoICreateaTestforMyStudentswhitepaper.pdf
Types of Questions
LibGuides: Learning skills: Fill-in-the-blank questions
Assessment by Richard Hall
Namalizia kwa kusema niko serious na nilichoandika.
Sijui kwa uelewa mdogo, hii ilikuwa TEST au kwa kiswahili ni JARIBIO tena la kwanza hopefully aliyehusika alilenga kupima uelewa wa wanafunzi wake kwa hilo somo ili kupanga wapi pa kuanzia kumjenga au kuwajenga hao wanafunzi na bahati nzuri huyo mwanafunzi ktk mwaka wa pili bado alidhihirika kuwa kilaza labda mhusika aliyetoa hii mada angetusaidia na majaribio mengine ya mtahiniwa huyo yaliyofuata ndiyo tutoe tathmini nzuri zaidi. NawasilishaNi level ya chuo kikuu (SUA) mkuu. Angalia kule juu paper imeandikwa "DEPARTMENT OF FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY".