GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Haiwezekani iwe ni Asubuhi, Mchana na hasa Usiku unakutana nao tu barabarani na katika Vilinge vya Starehe wakati nijuavyo kwa Vyuo Vikuu serious kama changu Takatifu na Tukuka cha SAUT Mwanza, Mzumbe, Tumaini na UDSM kwa Msuli walionao huwezi kukuta Wanafunzi wao wanazagaa hovyo kama Mbuzi wa Mpemba wa Mbezi Beach Makonde Mkoani Dar es Salaam.
Mwana Chuo unayeitafuta kweli GPA yako ya Kuanzia 3.0 kwenda ya 4 hadi ile ya 5 muda wa Kuzurula hovyo na kushinda Baa Kutwa unaipata wapi?
Halafu nyie Wahadhiri wa SUA Morogoro licha ya kuwataka muwaongezee Volume ya Msuli pia nawaombeni wafundisheni jinsi ya Kufikiri ( kuwa Critical Thinkers ) hasa wakikutana na Vichwa vya SAUT, Mzumbe, Tumaini na UDSM kwani uwezo wao wa Kujenga Hoja ni mdogo sana kiasi kwamba wanazidiwa hata na Wanafunzi wa O - Level.
Halafu Mademu wa SUA wajirekebishe.