Wahadhiri wa vyuo vikuu watangaza kuanza mgomo ifikapo Oktoba 31

Wahadhiri wa vyuo vikuu watangaza kuanza mgomo ifikapo Oktoba 31

Kenya ndo experiment ya high democracy in Africa , according to me high democracy in coercive nations zetu doesn't have a positive impact... lecturers wamegoma, teachers wamegoma, nurses wamegoma, nasa wamegoma....
 
Wahadhiri wa viuo vikuu huwa hawana mzaha, wakisema wanagoma lazima watagoma. Mgomo wenyewe utakuwa wa miezi kama mitatu hivi hawa maprofessa huwa hawaskizi chochote!
 
Dah! Niliposoma heading nikafungua kirikuu yangu iliyokuwa hapa mezani ili nishushie.. Baada ya kukuta ni Kenya nimefadhaika sana.

Tz naona wana mishahara mikubwa inayoridhisha.
 
Back
Top Bottom