pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Mi navyojua ni golikipa pekee ndio kila akizeeka anakuwa hodari,
Kumbe na mapro pia
Kumbe na mapro pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... as an example, walimu wa primary na secondary schools wanaostaafu kwa lazima at 60 wao wanatumia miguu kufundishia? Mbona tunapenda kutoa conclusions ambazo tunajinyooshea vidole wenyewe?Unasahau kuwa Brain na Physical body viko tofauti sana, unapofanya sana kazi za nguvu mwili unachoka zaidi unafika wakati unaweza kuumiza mwili wako lakini kwa kesi ya akili(brain) ni tofauti, kadiri unavyotumia ndivyo unavyokuwa kuwa mzuri zaidi.
... anajiandalia mazingira ya kurudi darasani baada ya ubunge na u-NS! Binadamu ni kiumbe kibinafsi sana!Uyu nae akili zake fupi kuliko uhalisia wake kumbe kwaiyo sisi vijana tuendelee kuteseka huku na phd zetu hajambo nini huyu dada sijui mama
... anajiandalia mazingira ya kurudi darasani baada ya ubunge na u-NS! Binadamu ni kiumbe kibinafsi sana!
Oooh, sikujua kuwa kuna uhaba wa walimu wa primary na secondary kama ilivyo kwa wahadhiri. Nilijua uzi unajidili swala la kuendelea kuwatumia wahadhiri kama njia ya kudeal na uhaba wao.... as an example, walimu wa primary na secondary schools wanaostaafu kwa lazima at 60 wao wanatumia miguu kufundishia? Mbona tunapenda kutoa conclusions ambazo tunajinyooshea vidole wenyewe?
... ndio hivyo ujue kuna wenzetu wamejipa hatimiliki ya kuitafuna nchi hadi Muumba atakapowachukua! Na wanaitafuna kweli kweli kwa kupumbaza watu na ujinga uliobatizwa uzalendo.Haya mambo ya kuangalia usoni hayakubaliki.
Kama kustaafu ni miaka 60 na iwe kwa wote. Si mwanasiasa si Profesa si Daktari wote!
Ndiyo maana tunalea tatizo la ajira.
... ndio hivyo ujue kuna wenzetu wamejipa hatimiliki ya kuitafuna nchi hadi Muumba atakapowachukua! Na wanaitafuna kweli kweli kwa kupumbaza watu na ujinga uliobatizwa uzalendo.
... graduates wenye gpa za kutosha kufundisha vyuoni wamezagaa mtaani! By the way hoja yako ilikuwa physical body vs brain na majibu yangu yalijielekeza hivyo! Vyuo viandae proper succession plan badala ya wazee kujiandalia mazingira ya kubaki maofisini hadi mauti.Oooh, sikujua kuwa kuna uhaba wa walimu wa primary na secondary kama ilivyo kwa wahadhiri. Nilijua uzi unajidili swala la kuendelea kuwatumia wahadhiri kama njia ya kudeal na uhaba wao.
... sana Mkuu. Kuna watu walishajijengea mazoea, mazoea yakakomaa yakawa tabia, tabia imekomaa sasa inataka kuwa sheria!Katiba mpya ni suala la dharura sana!
Kunahitajika mustakabala mpya.
Tatizo wengi ni wabinafsi, hawataki ku transfer knowledge kwa juniors wao at full scale, wanataka waonekane ni bora na wawe wategemewa milele.Kwahiyo mpaka wafie kazini kama wanasiasa?
Kwani graduates hakuna ?
Kwa upande wangu Mimi naona hiyo brain ndiyo inazidi ku-deteriorate. Kwa sababu inafikia stage mtu anasahau hata kunyoa ndevu!... as an example, walimu wa primary na secondary schools wanaostaafu kwa lazima at 60 wao wanatumia miguu kufundishia? Mbona tunapenda kutoa conclusions ambazo tunajinyooshea vidole wenyewe?
... nakubaliana na wewe. Eti profesa wa 70 ana-deliver better than profesa wa 40 ceteris paribus! Wazee waache ubinafsi, waandae vijana kuchukua nafasi. Aione Msichana wa jana.Kwa upande wangu Mimi naona hiyo brain ndiyo inazidi ku-deteriorate. Kwa sababu inafikia stage mtu anasahau hata kunyoa ndevu!
Hapo shida si maprof pekee, na watawala wanahusika. Kwanza, mafao duni; pili, serikali haiajiri kwa wakati. Ukichunguza kwa sasa hata mahospitali, madaktari wengi ni wadogoo, wale wazee wametupwa ghafla. Ilipaswa watu waajiriwe kwa kufuata nature. Hapa ndipo uwiano kiumri na uzoefu utakuwa safi.Lakini, serikali ilikaa kwa miaka mingi bila kuajiri, kisha inakuja kuajiri wengi kwa pamoja. Ndicho kilichopo sasa.mnajikuta kundi fulani halipo.Yaani mtu uajiriwe kufundisha chuo ukiwa na miaka 25 au 30 then ufanye kazi hadi miaka 65 bado tu uwe na hamu ya kuendelea kufundisha.
Hao maprof waache tamaa, wawaachie wengine waimplement knowledge zao.