GE2025 Wahadzabe: Sisi sote tumeridhia, tutajitokeza kwa wingi kumpa Rais wetu haki yake ya msingi

GE2025 Wahadzabe: Sisi sote tumeridhia, tutajitokeza kwa wingi kumpa Rais wetu haki yake ya msingi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Haya sasa Washaenda hadi kuwaharibu Wahadzabe huko, usishangae hata ile siku ya uchaguzi watawapelekea kilo kilo za nyama kama walivyowafanyia uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024
==========================

Jamii ya Wahadzabe, moja ya koo za kifugaji na wawindaji wa asili nchini Tanzania, imetoa kauli ya pamoja kuonyesha mshikamano wao na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi mkuu.

Akizungumza kijijini Domanga, wilaya ya Mbulu, Mwenyekiti wa Wahadzabe nchini, Rubeni Matayo, alisema jamii hiyo inatambua juhudi za serikali ya awamu ya sita katika kuboresha maisha yao kupitia huduma za kijamii.

“Sisi sote tumeridhia, tutajitokeza kwa wingi kumpa Rais wetu haki yake ya msingi. Tuna imani kubwa na Mama Samia, kiapo chake cha kwanza ni kuja kwa Wahadzabe,” alisema Matayo, akisisitiza dhamira ya jamii hiyo katika kushiriki uchaguzi.

 
..Wahadzabe wanaishi maisha ya asili ya mababu zao. Hawahitaji huduma yoyote toka serikalini. Sasa CCM wanakwenda kuwaomba kura za nini?
 
Wahadzabe na Samia wapi na wapi?

Hivi anayetunga maigizo mbona ni kilaza sana?
 
Ipo siku mtasema hadi Mashetani yaliopo kuzimu yapo pamoja na Samia 😃
 
Back
Top Bottom