Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Vijana hawaonekani kwa ajira
Sawa mkuuKila la kheri, ngoja waje...
Hii mkuu kama zile z mshahara laki 3 na nusu.. Mapoti yasiyopoza ya jamboWahahitajika vijana watano kwa ajili ya kutembeza nguo, viatu, mabegi ya mitumba maeneo mbalimbali mkoani Arusha. Aina ya kazi iko hivi:-
- Asubuhi utakabiziwa mzigo kutokana na uwezo wako, na utapewa malengo ya mauzo; kama utauza zaidi, kile kinachozidi ndio malipo yako; mfano suruali ya 5,000 ukauza 10,000, ile 5,000 iliyozidi ni ya kwako. Cha muhimu utimize malengo.
- Kazi hii inawafaa hasa wale wapambanaji wa kweli wa maisha wasiokuwa na aibu
- Kama malazi yatahitajika, ofisi inaweza kuwafikiria kwenye majengo yake.
Kwa hii ni rahisi kutajirika,kwa sababu namna unavyoongeza mauzo na wewe unazidi kunufaika zaidi; ni sawa na kukupa vitu kwa mkopo huku huna mtaji, kwa sababu hakuna mshahara bali unapewa mzigo na kupangiwa bei elekezi,ukiweza kuuza kwa bei ya juu zaidi ndio faida yako.Hii mkuu kama zile z mshahara laki 3 na nusu.. Mapoti yasiyopoza ya jambo
Eti rahisi kutajirikaKwa hii ni rahisi kutajirika,kwa sababu namna unavyoongeza mauzo na wewe unazidi kunufaika zaidi; ni sawa na kukupa vitu kwa mkopo huku huna mtaji, kwa sababu hakuna mshahara bali unapewa mzigo na kupangiwa bei elekezi,ukiweza kuuza kwa bei ya juu zaidi ndio faida yako.
[emoji1][emoji1]Eti rahisi kutajirika
Sajili jina la biashara BRELA , lipa kodi weka Duka wacheni u-holela wa kila mahala kuuza mtaani, hivi mpaka tumuombe mkoloni arudi ndio mtastaarabika?Wahahitajika vijana watano kwa ajili ya kutembeza nguo, viatu, mabegi ya mitumba maeneo mbalimbali mkoani Arusha. Aina ya kazi iko hivi:-
- Asubuhi utakabiziwa mzigo kutokana na uwezo wako, na utapewa malengo ya mauzo; kama utauza zaidi, kile kinachozidi ndio malipo yako; mfano suruali ya 5,000 ukauza 10,000, ile 5,000 iliyozidi ni ya kwako. Cha muhimu utimize malengo.
- Kazi hii inawafaa hasa wale wapambanaji wa kweli wa maisha wasiokuwa na aibu
- Kama malazi yatahitajika, ofisi inaweza kuwafikiria kwenye majengo yake.
Tembelea viwandani, maduka ya vifaa vya ujenzi, n.k wengi wana mizigo ambayo haijalipiwa, bali wanauza na kurejesha kile kinachotakiwa kwa mzalishaji.Kwa hiyo tajiri anajificha nyuma ya wanachinga au sio?
Ishu hapa sio brela, ni 'marketing'Sajili jina la biashara BRELA , lipa kodi weka Duka wacheni u-holela wa kila mahala kuuza mtaani, hivi mpaka tumuombe mkoloni arudi ndio mtastaarabika?
Njoo uchukue mzigo mkuuEti rahisi kutajirika
Mkuu huna akili [emoji23][emoji23]Eti rahisi kutajirika