Wahamiaji haramu 3,000 kwenye magereza yetu! Hatuwezi kuwarejesha kwao tukaokoa gharama za kutunza?

Uongozi wa ccm haujawahi kuwa na huruma na kodi za wananchi.
 
Mimi naona Mbunge huyu amasema ukweli! Warudishwe kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…