WAHAMIAJI HARAMU TANZANIA

Sophist

Platinum Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
4,486
Reaction score
3,408
Taarifa ifuatayo hapa chini imedukuliwa wakati ikitumwa kwa Kamishena Jenerali wa Uhamiaji, Jamii Intel. someni wenyewe, pengine kuna ukweli ndani yake.

Message to CGI
TAARIFA: URAIA UNAOTILIWA SHAKA
Tunashukuru Serikali ya JMT kudhibiti wahamiaji haramu. Hata hivyo, bado wapo wahamiaji haramu wanaoendelea kuishi hapa nchini. Miongoni mwao ni voingozi/watendaji wa NGOs. Tunashauri UHAMIAJI ichunguze uhalali wa uraia wa waendeshaji wa NGOs zifuatazo (majina na simu zao kwenye mabano).
Policy Forum (Semkae Kilonzo, 0762145444); Agenda Participation 2000 (Moses Kulaba, 754844410); na Haki Madini (Amani Muhinda, 0784408819).
Semkae na Kulaba wanaishi Dar es salaam wakati Muhinda anaishi Arusha.
Semkae ni raia wa Kenya (likizo zake huenda huko kwa siri); Kulaba ni raia wa Uganda; na Muhinda uraia wake haujuikani kwa kuwa mama yake ni raia wa Kenya wakati baba yake anasemekana kuwa raia wa Rwanda ambaye muda fulani huko nyuma aliwahi kuishi Karagwe, Kegera.
Waandaaji wa taarifa hii ni NGOEthicsalert@yahoo.com
 
Kazi kweli kweli kwanini wadaganye uraia? Au ni kiherehere chao kuchimba mambo ya nchi yasiyo wahusu.
 
Wahamiaji haramu wapo wengi sana kuna wanyasa wakenya wanaigeria waganda wazambia tupo nao mtaani lakini serikali inawaangalia tu
 
Wewe kutuma nyaraka za siri za serikali ambazo zimedukulia siyo kosa kisheria ?? Mkuu JamiiForums, hizi nyuzi ndizo huwa zinawaletea JF matatizo.

Wewe Sophist tukisema unafanya Tipping Off kwa hawa jamaa zako ili wakwepe mkono wa sheria utalalamika unaonewa ??
 
Sidhani kama hao kuna haja ya kundanganya uraia wao kwasababu wanauwezo wakulipia vibali vya my ishini...uenda ni watanzania lakini kazi zao hazisifie utawala ulioko madarakani
 
Tatizo la kufukunyua mambo ya utawala. Kama twaweza hii utafiti wao ulikua kwa lengo gani na ili iweje? Wanatumwa na wazungu kuja kuleta taharuki katika nchi zakiafrika. Acha wabanwe. Mbona Wanyarwanda wapo wengi Sana nchini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…