Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,408
Taarifa ifuatayo hapa chini imedukuliwa wakati ikitumwa kwa Kamishena Jenerali wa Uhamiaji, Jamii Intel. someni wenyewe, pengine kuna ukweli ndani yake.
Message to CGI
TAARIFA: URAIA UNAOTILIWA SHAKA
Tunashukuru Serikali ya JMT kudhibiti wahamiaji haramu. Hata hivyo, bado wapo wahamiaji haramu wanaoendelea kuishi hapa nchini. Miongoni mwao ni voingozi/watendaji wa NGOs. Tunashauri UHAMIAJI ichunguze uhalali wa uraia wa waendeshaji wa NGOs zifuatazo (majina na simu zao kwenye mabano).
Policy Forum (Semkae Kilonzo, 0762145444); Agenda Participation 2000 (Moses Kulaba, 754844410); na Haki Madini (Amani Muhinda, 0784408819).
Semkae na Kulaba wanaishi Dar es salaam wakati Muhinda anaishi Arusha.
Semkae ni raia wa Kenya (likizo zake huenda huko kwa siri); Kulaba ni raia wa Uganda; na Muhinda uraia wake haujuikani kwa kuwa mama yake ni raia wa Kenya wakati baba yake anasemekana kuwa raia wa Rwanda ambaye muda fulani huko nyuma aliwahi kuishi Karagwe, Kegera.
Waandaaji wa taarifa hii ni NGOEthicsalert@yahoo.com