Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkoani gharama inakuwajeGhalama ya kuchimba sijaiweka hapo boss hiyo ni survey ambayo ni laki mbili na nusu kwa Dar Es salaam
Hatujajua hiyo gharama nafuu ni kiasi Gan ?Wahandisi niambieni nini kimekosekana hapa?
Nb: tunafanya Underground Water survey kwa Tshs 250,000 kwa wakazi wa Dar Es salaam
Pia Tunachimba visima kwa ghalama nafuu kabisa
0689 150 968
0625 557 395
0764 418 248View attachment 2304909
hiyo kwenye picha ndio mnaita survey? i mean hicho kitendo mnachofanyaWahandisi niambieni nini kimekosekana hapa?
Nb: tunafanya Underground Water survey kwa Tshs 250,000 kwa wakazi wa Dar Es salaam
Pia Tunachimba visima kwa ghalama nafuu kabisa
0689 150 968
0625 557 395
0764 418 248View attachment 2304909
Dodoma sh ngapi?Ghalama ya kuchimba sijaiweka hapo boss hiyo ni survey ambayo ni laki mbili na nusu kwa Dar Es salaam
Kwenye picha ni uchimbaji wa kisima kwa kutumia mud circulation. Survey ni hatua inayofanyika kabla ya uchimbaji wa kisima, lengo ni kujua ni kwa umbali gani maji mengi yanaweza kupatikana, aina ya matabaka ya ardhi (geological formation ambapo ndio itakufanya uchague aina ya uchimbaji) na pia kujua idadi na ukubwa wa mikondo ya maji iliyopo chini ya ardhi.hiyo kwenye picha ndio mnaita survey? i mean hicho kitendo mnachofanya
Exactly bossKwenye picha ni uchimbaji wa kisima kwa kutumia mud circulation. Survey ni hatua inayofanyika kabla ya uchimbaji wa kisima, lengo ni kujua ni kwa umbali gani maji mengi yanaweza kupatikana, aina ya matabaka ya ardhi (geological formation ambapo ndio itakufanya uchague aina ya uchimbaji) na pia kujua idadi na ukubwa wa mikondo ya maji iliyopo chini ya ardhi.
Kila kitu kiko sawa.Wahandisi niambieni nini kimekosekana hapa?
Nb: tunafanya Underground Water survey kwa Tshs 250,000 kwa wakazi wa Dar Es salaam
Pia Tunachimba visima kwa ghalama nafuu kabisa
0689 150 968
0625 557 395
0764 418 248View attachment 2304909
Mnatumia kifaa gani mkuuKwenye picha ni uchimbaji wa kisima kwa kutumia mud circulation. Survey ni hatua inayofanyika kabla ya uchimbaji wa kisima, lengo ni kujua ni kwa umbali gani maji mengi yanaweza kupatikana, aina ya matabaka ya ardhi (geological formation ambapo ndio itakufanya uchague aina ya uchimbaji) na pia kujua idadi na ukubwa
wa mikondo ya maji iliyopo chini ya ardhi.
Good mtaalamuKwenye picha ni uchimbaji wa kisima kwa kutumia mud circulation. Survey ni hatua inayofanyika kabla ya uchimbaji wa kisima, lengo ni kujua ni kwa umbali gani maji mengi yanaweza kupatikana, aina ya matabaka ya ardhi (geological formation ambapo ndio itakufanya uchague aina ya uchimbaji) na pia kujua idadi na ukubwa wa mikondo ya maji iliyopo chini ya ardhi.
Gharama nafuu ndio kiasi gani?! Nipo Sumbawanga na tayari nina kisima cha kama mita 10 hivi. Nataka mkiboreshe kama mpo na hukuWahandisi niambieni nini kimekosekana hapa?
Nb: tunafanya Underground Water survey kwa Tshs 250,000 kwa wakazi wa Dar Es salaam
Pia Tunachimba visima kwa ghalama nafuu kabisa
0689 150 968
0625 557 395
0764 418 248View attachment 2304909