Wahanga wa ajira tuna letu jambo tukutane Oktoba

mamba1

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
466
Reaction score
248
Habari wana jamvi wale wahanga wa ajira hususani waalimu tuna letu jambo ama tuamue kitu au tubaki kuendelea kuwa mitaani kwa miaka mingine 5.

Watumishi pia ikumbikwe kwa miaka 5 imepita bila chochote sasa tuamue either tuongeze miaka 5 bila chochote au tuamue jambo.

Pia na watumishi waliondolewa makazini ndio muda wa kuonyesha hasira zetu.

Nawasilisha
 
Kuna wajinga baadhi ya walimu na watendaji makada wanatumika kama kondomu kipindi kama hiki cha uchaguzi kuhusika kuweka mpira kwapani kwa kutishwa na wakurugenzi kufukuzwa kazi ama kushushwa cheo asipoibeba ccm. Sana sana watendaji kata na mamek wamehusika sana kuwaenguwa madiwani na wao ndio wasimamizi wa uchaguzi arafu baada ya uchaguzi ukipiganao story wanalalamika jamaa katubania madaraja mara annual increment muda kama huu wanafanya upumbavu kisa wanalipwa 20k kwa siku 90 na pia wanalipwa 100k ya semina kwa siku 3 na kusahau kuwa baada ya uchaguzi wanaishi kwa tabu kisa wamehusika kufanya ujinga
 
Tafuta kazi wasomi wengi ndo msokua na kazi mnabagua sana kazi msifikiri ni lazima ufanye kazi ya kile mlichosomea chuo
 
Tatizo la Wasomi wetu vilaza, wakisoma tuu mengi yakimaliza hakuna kazi zaidi ya kuajiriwa tuu.

Afande Magu mitano tenaaa.

We mtu cheti feki umeachishwa kazi bila kufunguliwa mashtaka bado unalia na serikali.
Na Ole wenu raisi sikuwa Mimi ninge wapiga nyundo miaka 7 kila mmoja na kuwakabidhi shamba la Morogoro la katani lilimwe vzri na kupandwa maindi wakale wanafunzi wa shule mchana ili wasirudi nyumbani.
Maana sheria iko wazi kabisa Kwa mtu alie foji cheti kujipatia kazi.

Bila Shaka Mzee Baba ni mpole Sanaa kuliko dah acha tuu
 
Childish
 
Habari wana jamvi wale wahanga wa ajira hususani waalimu tuna letu jambo ama tuamue kitu au tubaki kuendelea kuwa mitaani kwa miaka mingine 5.

Watumishi pia ikumbikwe kwa miaka 5 imepita bila chochote sasa tuamue either tuongeze miaka 5 bila chochote au tuamue jambo.

Pia na watumishi waliondolewa makazini ndio muda wa kuonyesha hasira zetu.

Nawasilisha
Ni yeye 2020 ,tuna mtaka ashike dola ili atuajili
 
Tatizo la Wasomi wetu vilaza, wakisoma tuu mengi yakimaliza hakuna kazi zaidi ya kuajiriwa tuu.

Afande Magu mitano tenaaa.

We mtu cheti feki umeachishwa kazi bila kufunguliwa mashtaka bado unalia na serikali.
Na Ole wenu raisi sikuwa Mimi ninge wapiga nyundo miaka 7 kila mmoja na kuwakabidhi shamba la Morogoro la katani lilimwe vzri na kupandwa maindi wakale wanafunzi wa shule mchana ili wasirudi nyumbani.
Maana sheria iko wazi kabisa Kwa mtu alie foji cheti kujipatia kazi.

Bila Shaka Mzee Baba ni mpole Sanaa kuliko dah acha tuu
Watanzania wameamua 2020 ni yeye
 
Kosa la kufoji cheti ni jela miaka 3 au faini ya shilingi lak 5...
Na kosa hili halimnyim mtu kukosa stahik zake za msingi kwan ni kosa kama makosa mengi ..mngewalipa halafu mkusanye hizo lak 5 zenu tu mbona mngepata pesa nyingi sana kuliko iv mlivyowafanya..
Hili ni kundi la kwanza CCM mjihesabie Ku hamtapata kura zao kutoka kwao na kwa familia zao.
 
Tatizo la Wasomi wetu vilaza, wakisoma tuu mengi yakimaliza hakuna kazi zaidi ya kuajiriwa tuu.

Afande Magu mitano tenaaa.

We mtu cheti feki umeachishwa kazi bila kufunguliwa mashtaka bado unalia na serikali.
Na Ole wenu raisi sikuwa Mimi ninge wapiga nyundo miaka 7 kila mmoja na kuwakabidhi shamba la Morogoro la katani lilimwe vzri na kupandwa maindi wakale wanafunzi wa shule mchana ili wasirudi nyumbani.
Maana sheria iko wazi kabisa Kwa mtu alie foji cheti kujipatia kazi.

Bila Shaka Mzee Baba ni mpole Sanaa kuliko dah acha tuu
Vp Bashite aliyeambiwa kuwa hata kama ana cheti feki yeye apihe kazi tu
 
Back
Top Bottom