Kuna ukweli katika hili?Tafuta kazi wasomi wengi ndo msokua na kazi mnabagua sana kazi msifikiri ni lazima ufanye kazi ya kile mlichosomea chuo
ChildishTatizo la Wasomi wetu vilaza, wakisoma tuu mengi yakimaliza hakuna kazi zaidi ya kuajiriwa tuu.
Afande Magu mitano tenaaa.
We mtu cheti feki umeachishwa kazi bila kufunguliwa mashtaka bado unalia na serikali.
Na Ole wenu raisi sikuwa Mimi ninge wapiga nyundo miaka 7 kila mmoja na kuwakabidhi shamba la Morogoro la katani lilimwe vzri na kupandwa maindi wakale wanafunzi wa shule mchana ili wasirudi nyumbani.
Maana sheria iko wazi kabisa Kwa mtu alie foji cheti kujipatia kazi.
Bila Shaka Mzee Baba ni mpole Sanaa kuliko dah acha tuu
Ni yeye 2020 ,tuna mtaka ashike dola ili atuajiliHabari wana jamvi wale wahanga wa ajira hususani waalimu tuna letu jambo ama tuamue kitu au tubaki kuendelea kuwa mitaani kwa miaka mingine 5.
Watumishi pia ikumbikwe kwa miaka 5 imepita bila chochote sasa tuamue either tuongeze miaka 5 bila chochote au tuamue jambo.
Pia na watumishi waliondolewa makazini ndio muda wa kuonyesha hasira zetu.
Nawasilisha
Watanzania wameamua 2020 ni yeyeTatizo la Wasomi wetu vilaza, wakisoma tuu mengi yakimaliza hakuna kazi zaidi ya kuajiriwa tuu.
Afande Magu mitano tenaaa.
We mtu cheti feki umeachishwa kazi bila kufunguliwa mashtaka bado unalia na serikali.
Na Ole wenu raisi sikuwa Mimi ninge wapiga nyundo miaka 7 kila mmoja na kuwakabidhi shamba la Morogoro la katani lilimwe vzri na kupandwa maindi wakale wanafunzi wa shule mchana ili wasirudi nyumbani.
Maana sheria iko wazi kabisa Kwa mtu alie foji cheti kujipatia kazi.
Bila Shaka Mzee Baba ni mpole Sanaa kuliko dah acha tuu
Kosa la kufoji cheti ni jela miaka 3 au faini ya shilingi lak 5...Tatizo la Wasomi wetu vilaza, wakisoma tuu mengi yakimaliza hakuna kazi zaidi ya kuajiriwa tuu.
Afande Magu mitano tenaaa.
We mtu cheti feki umeachishwa kazi bila kufunguliwa mashtaka bado unalia na serikali.
Na Ole wenu raisi sikuwa Mimi ninge wapiga nyundo miaka 7 kila mmoja na kuwakabidhi shamba la Morogoro la katani lilimwe vzri na kupandwa maindi wakale wanafunzi wa shule mchana ili wasirudi nyumbani.
Maana sheria iko wazi kabisa Kwa mtu alie foji cheti kujipatia kazi.
Bila Shaka Mzee Baba ni mpole Sanaa kuliko dah acha tuu
Vp Bashite aliyeambiwa kuwa hata kama ana cheti feki yeye apihe kazi tuTatizo la Wasomi wetu vilaza, wakisoma tuu mengi yakimaliza hakuna kazi zaidi ya kuajiriwa tuu.