Kutokana na tangazo lilitolewa Jana bungeni kuhusu ajira mpya bira shaka wizara yako ndo mnufaika mkubwa hivyo yafuatayo yazingatiwe
1.wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019 hapa huwa mnatumia njia gani
2. Kwa kuwa watu walishatuma maombi zaidi y mara tatu hususani waliomaliza huko nyuma hahuna haha ya kutuma upya maombi
3.mnapopanga vituo zingatieni maombi ya walioomba mtu anaomba shule A anapelekwa Z
4.mchakato wa kutoa majina usichukue mda mrefu kama huko mwanzo
5.tunajua mtaanza na ndugu zenu ila msisahau walimu waliomaliza 2015
Nawasilisha