• Kuna tetesi walioshindwa kupanda vyeo kwa sababu ya mfumo kwenda kwa katibu mkuu TAMISEMI, ushauri wangu kabla hujanyenyua mguu wako omba rusuhusa kwanza kwa mkurungenzi wako maana kama hutafanya hivyo litakalo kukuta utajuta.
• Hili jambo vyama vya wafanyakazi vipo tunajua na wao wanalifuatilia kwa ukaribu sana, pamoja na hoja za watumishi wanazozieleza kuna mbadala UPI mfumo unapofeli juu ya utenda kazi wa mtumishi.
• Lakini pia wanaendelea kueleza je mtumishi akikosekana kazini bila ruhusa mkuu wake wa kazi hawezi kumtafuta? Inakuaje miaka mitatu mtumishi yupo kazini aaambiwe Hana progressive score?
Ushauri wangu kwa magroup ya wasap ya wahanga wa mfumo jipeni subra kidogo majibu yatapatikana tu,