shida siyo utoro mtu yupo kazini na kila siku mkuu wake wa kazi anamtali kama kawaida ,class journo mwl anasaini ila dakika za mwisho amepigwa na pepmiss,Mwigulu anakazi kubwa ya kukomesha "Uzembe Kazini" Mnawatengenezea Gap Watumishi ili waonekane ni watoro kazini..Kwanini msitatue changamoto zao?
kuna jamaa ameamua kuondoka aiseeNawakumbusha tu....ukijiajiri wewe ndo unajipandisha daraja na kujishusha, unajilipa unavyo taka...
Jambo zuri zaidi....unawapangia serikali kiasi cha kuchukua pesa yako kama kodi na wakizubaa huwapi kabisa
hii imepoteza utulivu kwa watumishi wetuNiliwawekea Uzi hapa mwanzoni kabisa juu ya hili la pepmis Nina mtoto wa shangazi yangu ni mhanga juu ya hiyo pepmis ndio alinipa taarifa nikaweka Uzi hapa kama mwezi umepita. Juzi anasema alienda Kwa afisa utumishi wake kumpa hiyo taarifa walivyochek yule HR akamjibu shida ni hizo score zipo below 75 na zimekuwa rolled back ha ha ha nikamwambia pole my niece ndio chichiem hiyo apambane na Hali yake.
Unaenda Dodoma kufanyaje ? Mnafelishwa na masupervisor wenu wa ndani ., labda mkienda mkawashtaki ..Huko Dodoma hwahusiki na ww kutofika 70% , tatizo lipo ndani kwenu kama ni taarifa za kupandishwa madaraja ni mwajiri wako hajafikisha utumishi .
Hao ni wakuwashtaki tuWale ma Hr wa halmashauri ni wapumbavu sana.
Kuna mmoja nilishawahi kufanya nae kazi yule bwana anaimba rushwa hadharani na ana upendeleo wa wazi kabisa kwa wanaompa pesa sijui kama hajastaafuHao ni wakuwashtaki tu
Uonezi.shida siyo utoro mtu yupo kazini na kila siku mkuu wake wa kazi anamtali kama kawaida ,class journo mwl anasaini ila dakika za mwisho amepigwa na pepmiss,
Hapa unaomba nini hasa?jipeni subra kidogo majibu yatapatikana tu,
OHapa unaomba nini hasa?
Vyama vya Wafanyakazi wanafuatilia au wanatazama?
RIZIWANI ALIKUA TABORA ILA HAJAELEWEKA MAELEZO YAKE NA MAELEKEZO,WANALAUMIWA AFISA UTUMISHI,BADALA YA MASHARITI YAO YA PEPMISS SCORE,HARIIIIIIII JAMANI NASHAURI TUTAFUTE NAULI TUSEPE KATORO MIGODI NI MINGI MNOUonezi.
OHapa unaomba nini hasa?
Vyama vya Wafanyakazi wanafuatilia au wanatazama?