Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Wakuu, nimepitia magazeti haya ya leo mtandaoni The Daily News, The Guardian, Mwana Spoti, Habari Leo, Nipashe, Majira, Uhuru, Jamvi la habari, Raia Mwema na Wamachinga upande wa michezo na kukuta ni gazeti la Habari Leo tu ndo limetuhabarisha mechi ya ligi kati ya Biashara United na Azam. Mengine yamejikita kwenye Usimba na Uyanga tu.
Labda wahariri wa magazeti hayo wamechukia kwa Azam kufungwa lakini hayo ndo matokeo ya mechi. Asiyejubali kushindwa si mshindani.
Wahariri badilikeni haiwezekani siku ina mechi ya ligi halafu hakuna habari kwenye magazeti hii sio 'FAIR PLAY'.