Wahariri wa TBC na Channel ten siasa bila mizania inawaharibia sifa

Wahariri wa TBC na Channel ten siasa bila mizania inawaharibia sifa

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,703
Reaction score
3,307
Mjitafakari sana kwanini watu Waite TBCCCM huku ni chombo cha Taifa. Muwe na chembe ya aibu kubalance story ili walaji wafikiwe na ujumbe wa kitaifa.

Chakateni taarifa kabla ya walaji, iweje walaji waanze kuchakata news baada ya kurusha huku mna wataalamu ndani ya vyombo vyenu. Aibu kubwa sana
 
Wanaamini Kwenye Chama Kimoja
Wanaogopa Kusema Ukweli Serikali Iliyopo Inapokosea
Wanalinda Vyeo Vyao Hao!!🙄😏😣😶😑😐
 
Mjitafakari sana kwanini watu Waite TBCCCM huku ni chombo cha Taifa.Muwe na chembe ya aibu kubalance story ili walaji wafikiwe na ujumbe wa kitaifa.

Chakateni taarifa kabla ya walaji,iweje walaji waanze kuchakata news baada yakurusha huku mnawataalamu ndani ya vyombo vyenu.Aibu kubwa sana
Mbona Maria Habalance.!
 
Natamani Sana utumwa chini ya CCM ufikie ukomo. Wenzetu Wakenya wamejikomboa na utumwa wa chama hodhi.
 
Back
Top Bottom