chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Aug 1, 2021 #21 Channel Ten ni mali ya CCM,mwendazake aliliweka wazi japo ilikuwa ni ushamba kwa kuwa iliwaharibia upande wa viewers, TISS wengi kwa sasa ndio hupelekwa pale kama CEO-watendaji wakuu, wana-shuttle serikalini na channel ten
Channel Ten ni mali ya CCM,mwendazake aliliweka wazi japo ilikuwa ni ushamba kwa kuwa iliwaharibia upande wa viewers, TISS wengi kwa sasa ndio hupelekwa pale kama CEO-watendaji wakuu, wana-shuttle serikalini na channel ten
P Paf JF-Expert Member Joined May 25, 2021 Posts 1,703 Reaction score 3,307 Aug 1, 2021 Thread starter #22 kochakindo said: Jifunze kuwa naakili basi cc tunazungumzia chombo cha taifa ww unamzungumzia Maria Click to expand... Huyo vipi,Maria ni nani miongoni mwa vyombo vya habari hapa nchini?
kochakindo said: Jifunze kuwa naakili basi cc tunazungumzia chombo cha taifa ww unamzungumzia Maria Click to expand... Huyo vipi,Maria ni nani miongoni mwa vyombo vya habari hapa nchini?
kochakindo JF-Expert Member Joined Nov 3, 2014 Posts 773 Reaction score 526 Aug 1, 2021 #23 Kabugula said: Huyo vipi,Maria ni nani miongoni mwa vyombo vya habari hapa nchini? Click to expand... Hata mimi namshangaa anamfananisha Maria na vyombo vya taifa
Kabugula said: Huyo vipi,Maria ni nani miongoni mwa vyombo vya habari hapa nchini? Click to expand... Hata mimi namshangaa anamfananisha Maria na vyombo vya taifa
Ngai Moko JF-Expert Member Joined Mar 21, 2016 Posts 1,301 Reaction score 1,738 Aug 1, 2021 #24 Waliopo Burundi watuambie vipi Tibisii inaonekana huko!! Na kama inaonekana kwa nini imewafuata na wakati wao ni warundi?
Waliopo Burundi watuambie vipi Tibisii inaonekana huko!! Na kama inaonekana kwa nini imewafuata na wakati wao ni warundi?