Wahasibu[emoji848]
Nimeona asee...ni balaaUmeona vitambi vya wahasibu
Unadhani baba wa ubatizo anakua mwema tu kwa sababu ni baba wa ubatizo?Hii habari ni yakweli?namwona babangu wa ubatizo hapo Mungu wangu
Ni yupi kati ya hao?Hii habari ni yakweli?namwona babangu wa ubatizo hapo Mungu wangu
Eti! Wote vitambi vya kuning'inia, hakuna kibarua wala staff!Jamaa wanavitambi vikubwa sana
Uhujumu peke yake hauchomoki kidhamana.Hawajapigwa money laundering!!?
Hilo kosa lina dhamana.....Uhujumu peke yake hauchomoki kidhamana.
Basi mi nilijua uhujumu pia haidhaminiki.Hilo kosa lina dhamana.....