Wahasibu na Kibarua TPA kizimbani kwa kuisababishia TPA hasara ya mil 600

Wahasibu na Kibarua TPA kizimbani kwa kuisababishia TPA hasara ya mil 600

WAHASIBU NA KIBARUA TPA, KIZIMBANI
WAHASIBU wanne wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kibarua mmoja, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye shtaka moja la kuisababishia Bandari hasara ya zaidi ya Sh. Milioni 600. https://t.co/NPCXVX7TaP
View attachment 2045178
Wote wana vitambi, sasa hapo hata kibarua huwezi mtofautisha na wengine
 
Bandarini labda sijui wakae maroboti, kila siku wimbo ni uleule.
 
HUYO JAMAA MWENYE NJANO NDIO ATAUWA KIBARUA KWA MTAZAMO WANGU
 
WAHASIBU NA KIBARUA TPA, KIZIMBANI
WAHASIBU wanne wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kibarua mmoja, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye shtaka moja la kuisababishia Bandari hasara ya zaidi ya Sh. Milioni 600. https://t.co/NPCXVX7TaP
View attachment 2045178
Mipaka ya kupiga picha na kurekodi kwa vifaa vya kielektroniki mashauri ya mahakamani ikoje?

Mfano hii picha je wamepigwa wakati Mheshimiwa Hakimu ameshaingia Mahakamani au bado?
 
wanakamata vidagaa tu maaneeeeneer zao CAG alimtaja hadi diblo dibala alivyokua anasaidia kuchepusha hela za jiwe lakini zile pages zooote zimefutiliwa mbali, usicheze na mboga mboga kabisa, yaani lao moja
 
Back
Top Bottom