Wahasibu na Kibarua TPA kizimbani kwa kuisababishia TPA hasara ya mil 600

Wote wana vitambi, sasa hapo hata kibarua huwezi mtofautisha na wengine
 
Bandarini labda sijui wakae maroboti, kila siku wimbo ni uleule.
 
HUYO JAMAA MWENYE NJANO NDIO ATAUWA KIBARUA KWA MTAZAMO WANGU
 
Mipaka ya kupiga picha na kurekodi kwa vifaa vya kielektroniki mashauri ya mahakamani ikoje?

Mfano hii picha je wamepigwa wakati Mheshimiwa Hakimu ameshaingia Mahakamani au bado?
 
wanakamata vidagaa tu maaneeeeneer zao CAG alimtaja hadi diblo dibala alivyokua anasaidia kuchepusha hela za jiwe lakini zile pages zooote zimefutiliwa mbali, usicheze na mboga mboga kabisa, yaani lao moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…