Wahasibu na wenye uelewa naombeni msaada wenu hapa tafadhali

mkuu asnt hk ktabu nlimwazima mtu hakurudisha tena nashangaa kimenirudia kwa mfumo mwngn
 
Safi sana SMU.
 
Reactions: SMU
Naona umeleta wazo zuri sana!!

Niko na hoja mbili!!

Mapato na matumizi yangu nimeyagawanya kwenye kota, yaani kila kota ina miezi mitatu! hoja ya msingi ni hii, ndani ya kota flani je salio la mwezi wa kwanza linaweza kuwa income kwenye "income section" ya mwezi wa pili na wa tatu ndani ya kota hiyo? naona umeelezea kwenye mada yako ila nitahitaji maezo zaidi kama hutojali!

Hoja ya pili...

Naona umefikia mbali, je unaweza nipatia template ya excel sheet yako nicheki kama naweza jifunza kitu?

NB: Mapato yangu sehemu kubwa ni salary..

Ntanguliza shukrani!
 
1. Yes balance ya mwezi mmoja itaingia kwenye mwezi unaofuata.
2. Naweza ku-share template: but kesho.
 
Kwa hiyo itaingia kama income?
Yap. Labda cha muhimu hapa kujua ni kuwa dhana ya income au revenue kihasibu ni tofauti na hii cash accounting unayojaribu kufanya. Hii unayofanya inakaribiana zaidi namna serikali inavyotambua mapato na matumizi uake. Mfano, kihasibu ukipata mkopo sio revenue wala income. Lakini katika muktadha wetu hapa loan utaitreat kama income. Vivyo hivyo kwa hiyo cash balance.
 
Usichanganye revenue ambayo ni mapato ya biashara kwenye mchanganuo wako binafsi hili neno hutumika kwenye kunukuu mapato ya kibiashara. Wala siku yoyote rafiki, usichanganye matumizi ya biashara na matumizi yako binafsi. Ili kupata uhalisia. Umetumia neno "mapato na matumizi yangu" kumbe hii ni personal Income.

Kwa hio, Mshahara wako uweke kwenye column ya Mapato (income) kama kuna payroll tax umekatwa weka upande wa matumizi.
Mapato (Disposable income) toa Matumizi (consumption) = Savings Kulingana na keynesian economics. Weka hizi benki Na kama unamadeni lipa. Mwezi unaokuja unafanya vivo hivo. Tumia hiyo spread sheet kama bajeti angalia wapi au which row unaweza kubana matumizi mwezi ujao

Mishahara ikiingiliana unaweka kwenye mwezi uleule uliopata hela, wewe uko kwenye cash basis accounting ukizishika ndio unaandika. Ukianza biashara vijana wenzio watakwambia kuhusu Accrual basis accounting, yani ni namna nyingine ya kunukuu matukio maalum kwa biashara
 
Nimekupata kiongozi!!

Kwa hiyo salio la mwezi huu nitaliweka wapi kwenye mwezi ujao? Income section au expenses section?
 
Io ni balance carried forwad..... Kwa mwenzi ujao, ila kwa mwezi uliopita itaitwa balance carried download pesa uliyo bakiwa nayo baada ya kutoa expenses na revenue zako...
 
Hiyo utaipeleka balance sheet mkuu.
 
DR. Cash a/c
CR. Salary a/c

DR. Expense a/c
CR. Cash a/c

DR. Salary a/c
CR. Income St. a/c (closing entry)

DR. Income St. a/c
CR. Expense a/c. (closing entry)

DR. Income St. a/c
CR. Surplus a/c

FP
Assets(CA) Cash bal.
O/E. Surp. bal.


Nb.
Income statement ufunguliwa katika mtiririko wa vipndi maalumu kwa lengo la kutaka kujua faida kwa wanao jishughulisha na biashara au ziada kwa wasiojishughulisha na biashara. Baada ya hicho kipindi kuisha hufungwa kabisa baada ya dhumun kufikiwa.

Kwa scenario yako kinachobaki ni ziada, hivyo kitaingia kwenye akaunti maalumu ya ziada. Kupitia akaunti ya ziada utakuwa unaweka ziada zingine zote zinazopatikana katika vipindi vingine vya kuandaa income statement kwa kujumlisha na ziada za vipindi vingine vilivyopita.

Done.
 
Nadhani ungemweleza tu kuwa hiyo hela aipeleke reserve account ingetosha na kuelewa zaidi kuliko ulichokiandika hapo juu. Kiufupi ndio umezidi kumchanganya kabisa. Umeandika kama unamweleza mhasibu mwenzio
 
Nadhani ungemweleza tu kuwa hiyo hela aipeleke reserve account ingetosha na kuelewa zaidi kuliko ulichokiandika hapo juu. Kiufupi ndio umezidi kumchanganya kabisa. Umeandika kama unamweleza mhasibu mwenzio

Ahsante Mkuu kwa angalizo ambalo naamini litakuwa msaada kwa mtoa mada.!

Mkuu Upepo wa pesa zingatia hapa.
 
Ahsante Mkuu kwa angalizo ambalo naamini litakuwa msaada kwa mtoa mada.!

Mkuu Upepo wa pesa zingatia hapa.
Nadhani ungemweleza tu kuwa hiyo hela aipeleke reserve account ingetosha na kuelewa zaidi kuliko ulichokiandika hapo juu. Kiufupi ndio umezidi kumchanganya kabisa. Umeandika kama unamweleza mhasibu mwenzio
Nashukuruni sana wadau, michango yenu ya muhimu... Bado naendelea kuidevelop hii excel nataka nianze ku track matumizi na mapato soon!

Nitaiweka hapa ili muichambue na iweze kuwasaidia wengine!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…