Wahasibu na wenye uelewa naombeni msaada wenu hapa tafadhali

Wahasibu na wenye uelewa naombeni msaada wenu hapa tafadhali

Jamaa anahitaji receipt and payments basi sidhani kama anahitaji statement nyinginezo. Na kama atapeleka pesa bank itatoka kama matumizi ya kawaida lakini mwisho ataonyesha balance aliyonayo cash pamoja na bank. Kuna moja niliweka hapa
Mziba umeeleza vizuri. Unajua ukiwa mhasibu usifikiri kila mtu anajua uhasibu, Unatakiwa kumuelezea kwa njia rahisi bila hata kutumia maneno ya kiuhasibu. Kwa mtu aliyewahi kucheza na cash book au hata petty cash book ni rahisi kuelewa haya mambo. Mtu akisha sema "akipata mshahara wake" lazima ujue kwamba mapato yake siyo ya biashara na matumizi yake vivyo hivyo. Kama anatoa pesa kutoka kwenye mshahara wake kuwekeza kwenye biashara yake hilo ni swala lingine kabisa na kwenye matumizi yake binafsi inatakiwa kuonyeshwa kama "uwekezaji kwenye biashara fulani...."

Kwa ufupi mshahara uarecord to pale ambapo umeupata (yaani Receipts) ukitumia ndiyo unaonyesha matumizi (yaani Payments). Mwisho wa siku unaonyesha Receipts and Payments Account kwa mwezi. Balance ya mwezi ule unaichukua kama receipts ya mwezi mpya. Hakuna reserves account inayohusika pale.
 
View attachment 908458
ipo vizuri,ila zijaelewa SAVING&INVESTMENT ni kitu inajitegemea au ipo kwenye statement,na inavyoonekana hiyo statement utakuwa unacalculate mwisho wa mwezi,inamaana utakuwa unarecord pembeni(ledger,cashbook etc) au?
Hiyo savings and investment ilikuja kwa idea kwamba, what if ikatokea nikafanya investment yeyote? Mfano kununua hisa, shamba, nyumba... I guess zote zinafall kwenye expenses kwenye category ya investment kama nlivyoonyesha hapo!!

Hiyo row ya savings nlikua na wazo one day nianze kutenga ela ya kusave kwa ajili ya kitu flan in the future mfano ada, likizo na mengine kama hayo...

Ukiangalia in that context zote hizo zina drain out money na ndio maana nikaziweka kwenye expenses!

BTW kama nime mix tueleweshane...
 
International Accouting Standard 18 imekuaje? Hapa ukiwawekea IAS's haisaidii kitu. Wanataka kitu simple tu bila kujali kama kina adhere to IFRS. Yaani ilimradi kina satisfy malengo yao. So ukiwaambia uhasibu unataka hivi inaonekana kama hawapo tayari kusikiliza. All they need is something simple regardless whether it complies with IAS or IFRS.
 
Jamaa anahitaji receipt and payments basi sidhani kama anahitaji statement nyinginezo. Na kama atapeleka pesa bank itatoka kama matumizi ya kawaida lakini mwisho ataonyesha balance aliyonayo cash pamoja na bank. Kuna moja niliweka hapa
Ni sawa Blaki Womani
 
Kwanza nawasilimu!

!!
Hiyo iliyobaki unapaswa kujilipa mwenyewe mwanzoni kwa kuiweka kwenye fixed au saving account ambayo hutaigusa kwa hiyo itehesabika kama expenses but imeenda kwenye investment. Ni vyema kujilipa mwanzoni na si mwishoni. Ukienndelea kuiacha utajikuta umeitumia
 
mkuu mchango wako huwa nahisi ni utani (hata kama ni wa kweli)

yote ni sababu ya iyo avatar ya jamaaa kucheka, nami navuta picha usemacho ni utani.
Kwenye avatar jamaa hacheki, angalia hiyo avatar vizuri!!.....Anacheka na kulia kwa wakati mmoja mkuu!!
 
Hiyo iliyobaki unapaswa kujilipa mwenyewe mwanzoni kwa kuiweka kwenye fixed au saving account ambayo hutaigusa kwa hiyo itehesabika kama expenses but imeenda kwenye investment. Ni vyema kujilipa mwanzoni na si mwishoni. Ukienndelea kuiacha utajikuta umeitumia
Very nice observation, thank you.
 
Back
Top Bottom