Kuna mzee wa ki-Haya tulikutana huko madarasani aliniambia kijijini kwao wakisema waliosoma wasimame yeye hawezi kusimama. Aliyesoma kwao inamaana ana PhD.
Nimekaa nao kweli wingi ni wasomi lakini hiyo misifa ni noma. Unaweza kukuta mtu ametulia na ana PHD lakini katulia huwezi hata kujua. Kweli Kagera ni noma nawavulia kofia, sifa ipo kwenye damu