BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Chalamila kaishawaumbua hao mkuu we usipoteze muda kumuuliza maswaliMji wa Bukoba umekaa kisomi kweli? Angalia Moshi ulivyokaa kibiashara na kisomi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chalamila kaishawaumbua hao mkuu we usipoteze muda kumuuliza maswaliMji wa Bukoba umekaa kisomi kweli? Angalia Moshi ulivyokaa kibiashara na kisomi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Najiandaa hapa kwenda kwa wahaya, Nimeambiwa wanakuchemshia maji ya kuoga ukimaliza kuchakata kipochi manyoya
Hapana hapa nakataa top list ni wapembaNa kaushoga kanawaweka top list 😝😝
Kwani heading umeilewa? Si kasema hawashindwi kitu? Huko kujiuza si ni sehemu ya vitu wasivyoshindwa..!!
😝😝😝Hapana hapa nakataa top list ni wapemba
Tuheshimiane naomba.Mi nnachojua wamejaa huku dar kaz yao kujiuza tu
Huku dar fika maeneo ya Tandika sudan halaf omba uelekezwe kwa wahaya uone utakachokutana nacho mwenyewe wanachokifanya wahaya wenzakoTuheshimiane naomba.